Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nafasi ya wazazi katika mavazi ya mtoto

Katika maisha ya familia ndani ya jamii ni muhimu kwa mzazi kujenga utamaduni wa kumfunza watoto wako namna bora ya uvaaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZAZI WANA NAFASI GANI KATIKA KUKUCHAGULIA MKE/MUME?

Nianze kwa kumshukuru Jalali aliyenipa pumzi ya kuiona siku ya leo. Ni matumaini yangu kwamba na wewe msomaji wangu, umzima buheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Wewe ambaye afya inaleta matatizo, nakuombea upone haraka. Je, upo kwenye uhusiano wa kimapenzi, unampenda sana mume, mke, mchumba au mpenzi uliyenaye lakini wazazi wako hawamkubali na matokeo yake wanakuchagulia mtu wa kuishi naye? Mada ya...

 

10 years ago

GPL

WAZAZI WANA NAFASI GANI KATIKA KUKUCHAGULIA MKE / MUME?-2

Bila shaka msomaji wangu unaendelea vizuri na majukumu yako. Ni wiki nyingine tunapokutana tena kwenye uwanja wetu huu. Wiki iliyopita tuliianza mada hii kama inavyojieleza hapo juu.Tuliangalia mfano wa jinsi mwanaume mmoja ambaye yupo ndani ya ndoa kwa kipindi cha miaka kumi lakini wazazi wake hawamtaki mkewe na badala yake wamemtafutia mwanamke mwingine ambaye ndiyo wanamtaka. Tulianza kuangalia namna ya kushughulikia tatizo...

 

11 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -4

KWANZA tuwe tumeshakubaliana na ukweli kwamba mzazi ni kichocheo cha mtoto kuwa mhusika bora katika mapenzi, baada ya hapo tutakuwa na mawazo yanayoshabihiana kwamba gubegube au gumegume mara nyingi ni matokeo ya malezi mabaya. Tuendelee kutoka hapohapo, sasa ni muongozo kwako kuwa haina maana kuwa unaweza kusamehewa na kuachwa kama ulivyo eti kisa ndivyo ulivyolelewa. Nani atakukubali kama wewe ni mzigo usiobebeka? Tafakari...

 

11 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -5

KUTOKA mwanzo wa makala haya mpaka hapa tulipofikia, sina shaka utakuwa umeshatambua namna ambavyo uhusika wa wazazi unavyoweza kuwafanya watoto wao kuwa ama magubegube au magumegume katika mapenzi. Kutoka hapo, sasa tuhitimishe mambo machache kwa kupeana maelekezo ya kimsingi ambayo yanaweza kukusaidia katika maisha yako ya kimapenzi hata kama ulipata muongozo wa ovyo kutoka kwa wazazi wako. Haishindikani wewe kuwa bora hata...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

10 years ago

Bongo5

Wazazi katika shule anayosoma mtoto wa Beyonce na Jay Z walalamika, fahamu ni kwanini!

Kwa mujibu wa ripoti, wazazi kwenye shule ya awali anayosoma mtoto wa Jay Z na Beyonce huko Hollywood nchini Marekani wanachukizwa na kitendo cha Blue Ivy kupelekwa na kuchukuliwa na magari mawili na bodyguards wawili kila siku. Wazazi hao wamedai kuwa kila anapoletwa au kuchukuliwa mtoto mwingine eneo hilo hugeuka kuwa na kero kubwa. Vyanzo […]

 

10 years ago

Mwananchi

Mdhibiti mtoto kuvaa mavazi ya ovyo nyumba za ibada

Nakumbuka muda mrefu uliopita niliwahi kuandika kitu kuhusiana na umuhimu wa kuheshimu nyumba za ibada. Katika makala hayo niliwaomba wanawake wawe makini na mavazi wanayotumia kwenye nyumba za ibada.

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala: Mavazi ya Mama Haya Halibu Tabia ya Mtoto!!

"Naomba niwaulize binadamu alie kwambia mimi nikivaa hivi nitamuhalibu mtoto nani ? acheni akili za kijinga kwasababu wengi wetu tunajua kabisa mtoto hawi na tabia mbaya kwasababu anamuona mama yake kavaa dira au tumbo wazi sisi zamani wazazi wetu walikuwa wanavaa hivi lakini mbona tuliwasumbua mnaboa na kukera pia kama mtoto wangu atahalibika kisa kaniona mimi nimevaa tumbo wazi utakuwa ni umbumbu wake na ujinga wake lakini sidhani kama mavazi yanamualibu mtoto naisi nimalezi peke yake...

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Ally Afunguka Kuhusu Mavazi Yake, Mtoto, Dini, Umaarufu…..

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally  amefunguka mengi kuhusu yeye mwenyewe kwenye kipindi cha Nirvana kinachorushwa na EATV usiku wa jana.

Ishu kubwa ilikuwa kuhusu mavazi yake “Napenda kuvaa vitu ninavyovaa, sina mavazi special naweza kuvaa vyovyote, niliipenda idea ya kuvaa nepi (diapers) na sina tatizo nayo kabisa”

Faiza ni mama wa mtoto mmoja wa kike, kwenye upande wa malezi ikoje? “Mimi ni mama mzuri sana, ninamtazama mtoto wangu saa 24… mavazi yangu hayaingiliani kabisa na malezi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani