Kajala: Mavazi ya Mama Haya Halibu Tabia ya Mtoto!!
"Naomba niwaulize binadamu alie kwambia mimi nikivaa hivi nitamuhalibu mtoto nani ? acheni akili za kijinga kwasababu wengi wetu tunajua kabisa mtoto hawi na tabia mbaya kwasababu anamuona mama yake kavaa dira au tumbo wazi sisi zamani wazazi wetu walikuwa wanavaa hivi lakini mbona tuliwasumbua mnaboa na kukera pia kama mtoto wangu atahalibika kisa kaniona mimi nimevaa tumbo wazi utakuwa ni umbumbu wake na ujinga wake lakini sidhani kama mavazi yanamualibu mtoto naisi nimalezi peke yake...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers06 Jan
mtoto wa kajala akerwa na kazi ya mama yake
Mtoto wa muigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja aitwaye Paula.
Na Imelda Mtema
MTOTO wa muigizaji wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja aitwaye Paula, ametoa mpya baada ya kudai kuwa havutiwi na sanaa anayofanya mama yake, isipokuwa anapenda zaidi uanamitindo.
Akizungumza na gazeti hili, mtoto huyo alisema anavutiwa zaidi na Hamisa Mobeto, ambaye licha ya kuigiza, lakini anatumia sehemu kubwa ya muda wake kufanya uanamitindo, kitu ambacho ni ndoto yake.
“Mimi sijawahi kuvutiwa na...
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Tusisahau, mavazi haya yanaakisi pia utu wetu
9 years ago
Bongo530 Dec
Picha: Mavazi haya yawatokea puani Sauti Sol, yafanya Wakenya wawaite ‘mashoga’
![Sauti sol3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Sauti-sol3-300x194.jpg)
Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya limejikuta likikabiliana na mashambulizi kutoka kwa mashabiki wao, baada ya kutinga mavazi ambayo yameleta tafsiri tofauti kiasi cha kusababisha wengi wazungumzie zaidi mavazi tena kwa mtazamo hasi, badala ya onesho walilofanya.
Mashabiki wa muziki wa Kenya wameyabatiza jina mavazi hayo na kuyaita ‘mavazi ya neti za mbu’, na wengine kudiriki hata kusema yamefanya waonekanae kama ‘mashoga’.
Mavazi hayo waliyavaa kwenye onesho la Mega Party Shanzu Teachers...
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Nafasi ya wazazi katika mavazi ya mtoto
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Mdhibiti mtoto kuvaa mavazi ya ovyo nyumba za ibada
10 years ago
Bongo Movies22 Jul
Faiza Ally Afunguka Kuhusu Mavazi Yake, Mtoto, Dini, Umaarufu…..
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally amefunguka mengi kuhusu yeye mwenyewe kwenye kipindi cha Nirvana kinachorushwa na EATV usiku wa jana.
Ishu kubwa ilikuwa kuhusu mavazi yake “Napenda kuvaa vitu ninavyovaa, sina mavazi special naweza kuvaa vyovyote, niliipenda idea ya kuvaa nepi (diapers) na sina tatizo nayo kabisa”
Faiza ni mama wa mtoto mmoja wa kike, kwenye upande wa malezi ikoje? “Mimi ni mama mzuri sana, ninamtazama mtoto wangu saa 24… mavazi yangu hayaingiliani kabisa na malezi ya...
10 years ago
CloudsFM24 Jul
Faiza Ally Afunguka Kuhusu Mavazi Yake, Mtoto, Dini, Umaarufu Wake
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally amefunguka mengi kuhusu yeye mwenyewe kwenye kipindi cha Nirvana kinachorushwa na EATV usiku wa jana.
Ishu kubwa ilikuwa kuhusu mavazi yake “Napenda kuvaa vitu ninavyovaa, sina mavazi special naweza kuvaa vyovyote, niliipenda idea ya kuvaa nepi (diapers) na sina tatizo nayo kabisa”
Faiza ni mama wa mtoto mmoja wa kike, kwenye upande wa malezi ikoje? “Mimi ni mama mzuri sana, ninamtazama mtoto wangu saa 24… mavazi yangu hayaingiliani kabisa na malezi ya mtoto...
9 years ago
Dewji Blog31 Dec