Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Year Party ya pamoja DMV: Mama wa Mitindo Asya Khamsin kufanya maonyesho ya mavazi!!

FB_IMG_1451367644232

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin anogesha mkesha wa mwaka mpya DMV!!

  Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa mitindo kuoka kwa gwiji la mitindo Tanzania mama Asya Idarous Khamsini aliponogesha mkesha wa mwaka mpya 2016 uliofanyika Lahnam, Maryaland nchini Marekani. Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki. Ni vivazi vya mama wa mitindo Asya Idarous Khamisni. Mtoto manshallah akiwa ndani ya vazi la mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini.   Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa vivazi. Ilikua ni vivazi kwa kwenda mbele. Kijana akijitanashati na kivazi...

 

10 years ago

GPL

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS, GUSAGUSA MIN BAND KUFANYA MAONYESHO UINGEREZA

Bana ya shoo hiyo ya Gusagusa Min band na Asia Idarous Khamsin itakayofanyika nchini Uingereza London, Uingereza Mbunifu wa mavazi nchini ‘Mama wa Mitindo’, Asia Idarous Khamsin yupo nchini Uingereza akiwa ameambatana na magwiji wa muziki wa taarab kutoka Tanzania, Gusagusa Min Band ambao watafanya maonyesho makubwa ndani ya miji ya nchi hiyo ikiwemo London na Northampton. Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo nchini...

 

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY MAMA WA MITINDO WA KIMATAIFA ASYA Idarous KHAMSIN

 Leo ndio siku ya kuzaliwa mwanamtindo na mbunifu maarufu wa mitindo ya mavazi wa kimataifa Asya Idarous wa  Khamsin almaarufu kama "Mama wa Mtindo" Mtanzania aliyejizolea sifa kedekede na anayeendelea kuiwakilisha Tanzania kimataifa katika fani ya mitindo ya mavazi.Tunamtikia kila la kheri, afyaa njema,maisha bora, maisha marefu,na furaha ya maisha.
 Keki ya Mama wa MitindoMama wa Mitindo akionesha kwa nini anaitwa hivyo.Globu ya Jamii inamtakia Mama wa Mitindo maisha marefu ya furaha, heri...

 

9 years ago

Michuzi

MAMAA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI KUFANYA ONESHO LA KHANGA PARTY JUMAMOSI AUG 29, 2015, DURHAM, NC


Kwa mara ya kwanza katika historiainakuletea Khanga Party Khanga Fashion show kutoka kwa mama wa mitindo Asya Idarous Khmasin siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 ndani ya kiota THE VAULT AT PALACE
ANUANI1104 BROAD STDURHAM NC 27705
Khanga Party ndani ya Durham North CarolinaKiingilio ni $ 20Couple $30Ladies with Khanga outfit $10 B4 11pmMusic By Dj LukeMilango itakua wazi kuanzia 8pm-3am Khanga Fashion show itaanza kuanzia saa 9pm mpaka 10pm baada ya hapo ni Rhumba mpaka saa 3qmKaRiBuNi 

 

9 years ago

Vijimambo

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake

Mama Asya Idarous Khamsini kuonyesha vazi la khanga

 

9 years ago

Dewji Blog

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake leo

*

Mwanamitindo na mbunifu Mkongwe kutoka Tanzania, Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin   leo  Septemba 20, anataraji kuonyesha mavazi ya ubunifu katika Swahili Fest Community Picnic

Swahili Fest Community Picnic.English-page-0

 

 

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar

IMG_3895

Na Mwandishi Wetu

MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.

Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo  ambao  hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui,  na leo Jumatano ya  Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.

Ratiba ya Kisomo:

Leo  Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...

 

10 years ago

Michuzi

Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall, siku ya Jumapili 12

TX4A9780Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall,siku ya Jumapili 12, July 2015 kwaanzia mida ya saa kumi na mbili kamili hadi saa mbili usiku. Jipatie kadi yako kwa shilingo 25,000/= tu! kwani 15000/= ni special kwaajili ya Dinner yako, inayobaki ni sadaka itakayo tumika kununulia Khanga zitakazo pelekwa Hospitalini kwa wagonjwa wanawake siku ya IDD. Hivyo kwa moyo wa kujitolea nyote...

 

10 years ago

Vijimambo

Mama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsin amepata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievment 2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani