HAPPY BIRTHDAY MAMA WA MITINDO WA KIMATAIFA ASYA Idarous KHAMSIN
![](http://3.bp.blogspot.com/-QdxDFHAfYA8/Vnw6TwRdoxI/AAAAAAAIOWI/5yXTC64j57g/s72-c/Bi.Asya%2BKhamsin.jpg)
Leo ndio siku ya kuzaliwa mwanamtindo na mbunifu maarufu wa mitindo ya mavazi wa kimataifa Asya Idarous wa Khamsin almaarufu kama "Mama wa Mtindo" Mtanzania aliyejizolea sifa kedekede na anayeendelea kuiwakilisha Tanzania kimataifa katika fani ya mitindo ya mavazi.Tunamtikia kila la kheri, afyaa njema,maisha bora, maisha marefu,na furaha ya maisha.
Keki ya Mama wa Mitindo
Mama wa Mitindo akionesha kwa nini anaitwa hivyo.Globu ya Jamii inamtakia Mama wa Mitindo maisha marefu ya furaha, heri...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin anogesha mkesha wa mwaka mpya DMV!!
10 years ago
Dewji Blog27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:
Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_1539.jpg)
BIRTHDAY YA MAMAA WA MITINDO, ASIA KHAMSIN IDAROUS YAFANA KWENYE KIOTA CHA NYUMBANI LOUNGE
10 years ago
VijimamboMama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo
![](http://4.bp.blogspot.com/-VQtk8j9RkuA/VIWnu89BDUI/AAAAAAAG2Ck/rsxQOelD9Nw/s640/IMG-20141208-WA0005.jpg)
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-hr4nKqFv9fA/Vd7LV-Etd1I/AAAAAAAD4xs/EKlwvdzWK58/s72-c/5a11276a3e0d35e93ad6c2fbda623af6%2B%25282%2529.jpg)
MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC
![](http://4.bp.blogspot.com/-hr4nKqFv9fA/Vd7LV-Etd1I/AAAAAAAD4xs/EKlwvdzWK58/s640/5a11276a3e0d35e93ad6c2fbda623af6%2B%25282%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-V0x5vqGHPDA/Vd7LV-NbshI/AAAAAAAD4xo/L7btvl4o0r4/s640/f1449c6bc15d404e96dfd97707f504fd%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/11169017_958488377518759_1048095244_n.jpg)
MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS, GUSAGUSA MIN BAND KUFANYA MAONYESHO UINGEREZA
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Uzhm5g2yX_8/VdBFMPZPa2I/AAAAAAAAJNA/0nHYaBeqEsI/s72-c/Swahili%2BFest%2BCommunity%2BPicnic.English-page-0.jpg)
Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/1-Asia-Idarous-akiwa-na-vazi-la-Kitanzania.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Uzhm5g2yX_8/VdBFMPZPa2I/AAAAAAAAJNA/0nHYaBeqEsI/s640/Swahili%2BFest%2BCommunity%2BPicnic.English-page-0.jpg)