Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin anogesha mkesha wa mwaka mpya DMV!!

  Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa mitindo kuoka kwa gwiji la mitindo Tanzania mama Asya Idarous Khamsini aliponogesha mkesha wa mwaka mpya 2016 uliofanyika Lahnam, Maryaland nchini Marekani. Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki. Ni vivazi vya mama wa mitindo Asya Idarous Khamisni. Mtoto manshallah akiwa ndani ya vazi la mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini.   Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa vivazi. Ilikua ni vivazi kwa kwenda mbele. Kijana akijitanashati na kivazi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY MAMA WA MITINDO WA KIMATAIFA ASYA Idarous KHAMSIN

 Leo ndio siku ya kuzaliwa mwanamtindo na mbunifu maarufu wa mitindo ya mavazi wa kimataifa Asya Idarous wa  Khamsin almaarufu kama "Mama wa Mtindo" Mtanzania aliyejizolea sifa kedekede na anayeendelea kuiwakilisha Tanzania kimataifa katika fani ya mitindo ya mavazi.Tunamtikia kila la kheri, afyaa njema,maisha bora, maisha marefu,na furaha ya maisha.
 Keki ya Mama wa MitindoMama wa Mitindo akionesha kwa nini anaitwa hivyo.Globu ya Jamii inamtakia Mama wa Mitindo maisha marefu ya furaha, heri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar

IMG_3895

Na Mwandishi Wetu

MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.

Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo  ambao  hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui,  na leo Jumatano ya  Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.

Ratiba ya Kisomo:

Leo  Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...

 

10 years ago

Vijimambo

Mama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsin amepata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievment 2014

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC

 Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akisalimiana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26, 2015 siku gwiji hilo la mitindo alipotembelea ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 Asya Idarosu Khamsini atafanya onesho la khanga Durham, North Carolina. Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akipata picha ya kumbukumbu na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26,...

 

10 years ago

GPL

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS, GUSAGUSA MIN BAND KUFANYA MAONYESHO UINGEREZA

Bana ya shoo hiyo ya Gusagusa Min band na Asia Idarous Khamsin itakayofanyika nchini Uingereza London, Uingereza Mbunifu wa mavazi nchini ‘Mama wa Mitindo’, Asia Idarous Khamsin yupo nchini Uingereza akiwa ameambatana na magwiji wa muziki wa taarab kutoka Tanzania, Gusagusa Min Band ambao watafanya maonyesho makubwa ndani ya miji ya nchi hiyo ikiwemo London na Northampton. Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo nchini...

 

9 years ago

Vijimambo

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake

Mama Asya Idarous Khamsini kuonyesha vazi la khanga

 

9 years ago

Dewji Blog

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake leo

*

Mwanamitindo na mbunifu Mkongwe kutoka Tanzania, Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin   leo  Septemba 20, anataraji kuonyesha mavazi ya ubunifu katika Swahili Fest Community Picnic

Swahili Fest Community Picnic.English-page-0

 

 

 

10 years ago

Michuzi

MNUSO WA KUMPONGEZA MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSIN KWA KUNYAKUA TUZO YA LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD 2014

Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akipongezwa na wadau kwa kupokea tuzo  ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD katika kiota cha MOG Bar (Zamani Nyumbani Lounge) jijini Dar es salaam  Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akipokea tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akitoa neno la shukrani kwa Mwenyezi Mungu baada ya kupokea tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD  Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akiwa haamini macho yake baada ya kutangazwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani