Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall, siku ya Jumapili 12
Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall,siku ya Jumapili 12, July 2015 kwaanzia mida ya saa kumi na mbili kamili hadi saa mbili usiku. Jipatie kadi yako kwa shilingo 25,000/= tu! kwani 15000/= ni special kwaajili ya Dinner yako, inayobaki ni sadaka itakayo tumika kununulia Khanga zitakazo pelekwa Hospitalini kwa wagonjwa wanawake siku ya IDD. Hivyo kwa moyo wa kujitolea nyote...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboASYA IDAROUS KHAMSIN AFUTARISHA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QdxDFHAfYA8/Vnw6TwRdoxI/AAAAAAAIOWI/5yXTC64j57g/s72-c/Bi.Asya%2BKhamsin.jpg)
HAPPY BIRTHDAY MAMA WA MITINDO WA KIMATAIFA ASYA Idarous KHAMSIN
![](http://3.bp.blogspot.com/-QdxDFHAfYA8/Vnw6TwRdoxI/AAAAAAAIOWI/5yXTC64j57g/s640/Bi.Asya%2BKhamsin.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5VltGNA2GZ4/Vnw7GNJIzDI/AAAAAAAIOWg/EKgx8SzFPSE/s320/Happy%2BBirthday%2BMama%2Bwa%2BMitindo.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LS4DYB7MF1w/Vnw6UVnyW-I/AAAAAAAIOWQ/be-YmQgwk5s/s640/Mama%2Bwa%2BMitindo%2BBi.Asya%2BKhamsin.jpg)
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin anogesha mkesha wa mwaka mpya DMV!!
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_1539.jpg)
BIRTHDAY YA MAMAA WA MITINDO, ASIA KHAMSIN IDAROUS YAFANA KWENYE KIOTA CHA NYUMBANI LOUNGE
10 years ago
VijimamboKISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI HUKO SILVER SPRING MD USA
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-6tiVbkr80cE/VE0DJTB4wxI/AAAAAAAAGIk/xpEJ68bcW8w/s72-c/zipompa.jpg)
Siku ya msanii Kanga designed by asia idarous khamsin
![](http://1.bp.blogspot.com/-6tiVbkr80cE/VE0DJTB4wxI/AAAAAAAAGIk/xpEJ68bcW8w/s1600/zipompa.jpg)
9 years ago
MichuziASYA IDAROUS KHAMSINI ANOGESHA SIKU YA MTANZANIA SEATTLE