Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASYA IDAROUS KHAMSIN AFUTARISHA


Futari ya Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous Khamsin, akiwa na Designer anaye chipukia kwa kasi, Titty Morris ilifaana vya kutosha kiasi kwamba hadi watu wengine walikosa sehemu ya kukaa. Hata hivyo Designers hao wametoa shukrani nyingi kwa wito mkubwa wa watu ambao walifanikiwa kufika katika hafla hiyo iliyobeba madhumuni ya kwenda kuwasaidia wakimama wagonjwa Hospitalini siku ya IDD. Kama unavyoona kwenye picha hapo ni ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY MAMA WA MITINDO WA KIMATAIFA ASYA Idarous KHAMSIN

 Leo ndio siku ya kuzaliwa mwanamtindo na mbunifu maarufu wa mitindo ya mavazi wa kimataifa Asya Idarous wa  Khamsin almaarufu kama "Mama wa Mtindo" Mtanzania aliyejizolea sifa kedekede na anayeendelea kuiwakilisha Tanzania kimataifa katika fani ya mitindo ya mavazi.Tunamtikia kila la kheri, afyaa njema,maisha bora, maisha marefu,na furaha ya maisha.
 Keki ya Mama wa MitindoMama wa Mitindo akionesha kwa nini anaitwa hivyo.Globu ya Jamii inamtakia Mama wa Mitindo maisha marefu ya furaha, heri...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin anogesha mkesha wa mwaka mpya DMV!!

  Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa mitindo kuoka kwa gwiji la mitindo Tanzania mama Asya Idarous Khamsini aliponogesha mkesha wa mwaka mpya 2016 uliofanyika Lahnam, Maryaland nchini Marekani. Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki. Ni vivazi vya mama wa mitindo Asya Idarous Khamisni. Mtoto manshallah akiwa ndani ya vazi la mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini.   Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa vivazi. Ilikua ni vivazi kwa kwenda mbele. Kijana akijitanashati na kivazi...

 

10 years ago

Michuzi

Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall, siku ya Jumapili 12

TX4A9780Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous Khamsin na Titty wanakuletea futari ya pamoja ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall,siku ya Jumapili 12, July 2015 kwaanzia mida ya saa kumi na mbili kamili hadi saa mbili usiku. Jipatie kadi yako kwa shilingo 25,000/= tu! kwani 15000/= ni special kwaajili ya Dinner yako, inayobaki ni sadaka itakayo tumika kununulia Khanga zitakazo pelekwa Hospitalini kwa wagonjwa wanawake siku ya IDD. Hivyo kwa moyo wa kujitolea nyote...

 

10 years ago

Vijimambo

ASYA IDAROUS AZUNGUMZA NA WANAHABARI

ASYA IDAROUS AZUNGUMZA NA WANAHABARIKatikati ni Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin
Asiya Idarous Khamsin Fabak Fashions ikishirikiana na Fashion news Tanzania inawaletea Lady in Red 2015, katika ukumbi wa Mog Bar ( Nyumbani Lounge) siku ya Ijumaa Tarehe 13 february 2015 usiku wa kuamkia Vallentine Day kwa kiingilio cha buku kumi aka 10000 na VIP 20000 ni kwaanzia saa 2 usiku.Leo Asya na timuyake ya maandalizi ya Lady in Red 2015 wamekutana na wanahabari Mog Bar na kuzungumzia mwenendo...

 

10 years ago

Vijimambo

Siku ya msanii Kanga designed by asia idarous khamsin

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsini akionyesha mitindo ya Khanga kweye usiku wa Msanii uliofanyika Mlimani City wiki iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

Mama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsin amepata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievment 2014

 

9 years ago

Michuzi

ASYA IDAROUS KHAMSINI ANOGESHA SIKU YA MTANZANIA SEATTLE

Walimbwende wakiwa tayari kufanya vitu vyao wakiwa na vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 5, 2015 Seattle jimbo la Washington nchini Marekani.Mlimbwende akiwa kwenye kivazi kutoka kwa mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 5, 2015 Seattle jimbo la Washington nchini Marekani.Kivazi chekundu kikiwa na riboni ya punda milia kikimfanya mlimbwende...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani