Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASYA IDAROUS AZUNGUMZA NA WANAHABARI

ASYA IDAROUS AZUNGUMZA NA WANAHABARIKatikati ni Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin
Asiya Idarous Khamsin Fabak Fashions ikishirikiana na Fashion news Tanzania inawaletea Lady in Red 2015, katika ukumbi wa Mog Bar ( Nyumbani Lounge) siku ya Ijumaa Tarehe 13 february 2015 usiku wa kuamkia Vallentine Day kwa kiingilio cha buku kumi aka 10000 na VIP 20000 ni kwaanzia saa 2 usiku.Leo Asya na timuyake ya maandalizi ya Lady in Red 2015 wamekutana na wanahabari Mog Bar na kuzungumzia mwenendo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Asia Idarous azungumza na wanahabari kuhusiana na Lady in Red 2015

DSC_0006

Asia Idarous Khamsin Fabak Fashions ikishirikiana na Fashion news Tanzania inawaletea Lady in Red 2015, katika ukumbi wa Mog Bar ( Nyumbani  Lounge)  siku ya Ijumaa Tarehe 13 february 2015 usiku wa kuamkia Vallentine Day kwa kiingilio cha buku kumi aka 10000 na VIP 20000  ni kwaanzia saa 2 usiku.

Leo Asia na timu yake ya maandalizi ya Lady in Red 2015 wamekutana na wanahabari Mog Bar na kuzungumzia mwenendo mzima wa Show hiyo kubwa ya kipekee ambayo hufanyika kila mwaka kwa kukuza ubunifu...

 

10 years ago

Vijimambo

ASYA IDAROUS KHAMSIN AFUTARISHA


Futari ya Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous Khamsin, akiwa na Designer anaye chipukia kwa kasi, Titty Morris ilifaana vya kutosha kiasi kwamba hadi watu wengine walikosa sehemu ya kukaa. Hata hivyo Designers hao wametoa shukrani nyingi kwa wito mkubwa wa watu ambao walifanikiwa kufika katika hafla hiyo iliyobeba madhumuni ya kwenda kuwasaidia wakimama wagonjwa Hospitalini siku ya IDD. Kama unavyoona kwenye picha hapo ni ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall,...

 

9 years ago

Michuzi

ASYA IDAROUS KHAMSINI ANOGESHA SIKU YA MTANZANIA SEATTLE

Walimbwende wakiwa tayari kufanya vitu vyao wakiwa na vivazi vya mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 5, 2015 Seattle jimbo la Washington nchini Marekani.Mlimbwende akiwa kwenye kivazi kutoka kwa mwanamitindo nguli Asya Idarous Khamsini kwenye siku ya Mtanzania iliyofanyika siku ya Jumamosi Desemba 5, 2015 Seattle jimbo la Washington nchini Marekani.Kivazi chekundu kikiwa na riboni ya punda milia kikimfanya mlimbwende...

 

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY MAMA WA MITINDO WA KIMATAIFA ASYA Idarous KHAMSIN

 Leo ndio siku ya kuzaliwa mwanamtindo na mbunifu maarufu wa mitindo ya mavazi wa kimataifa Asya Idarous wa  Khamsin almaarufu kama "Mama wa Mtindo" Mtanzania aliyejizolea sifa kedekede na anayeendelea kuiwakilisha Tanzania kimataifa katika fani ya mitindo ya mavazi.Tunamtikia kila la kheri, afyaa njema,maisha bora, maisha marefu,na furaha ya maisha.
 Keki ya Mama wa MitindoMama wa Mitindo akionesha kwa nini anaitwa hivyo.Globu ya Jamii inamtakia Mama wa Mitindo maisha marefu ya furaha, heri...

 

9 years ago

Vijimambo

VIJIMAMBO NA ASYA IDAROUS KHAMSINI IWATOA SHUKURANI SANA KWA MANANC


 Watanzania wa North Carolina wakipata picha ya kumbukumbu kwenye khanga party iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 mji wa Durham, North C Mashabiki wa mama wa mitindo wakipata picha ya kumbukumbu na Asya Idarous Khamsini  Picha ya kumbukumbu Mashabiki wakiselebuka
 Ni hapi kwa kwenda mbele Watanzania wa NC wakipata picha ya pamoja kwenye Khanga partyKitambaa cheupe

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA WA MITINDO ASYA IDAROUS KHAMSINI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC

 Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akisalimiana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26, 2015 siku gwiji hilo la mitindo alipotembelea ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 Asya Idarosu Khamsini atafanya onesho la khanga Durham, North Carolina. Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akipata picha ya kumbukumbu na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani