Picha: Mavazi haya yawatokea puani Sauti Sol, yafanya Wakenya wawaite ‘mashoga’
Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya limejikuta likikabiliana na mashambulizi kutoka kwa mashabiki wao, baada ya kutinga mavazi ambayo yameleta tafsiri tofauti kiasi cha kusababisha wengi wazungumzie zaidi mavazi tena kwa mtazamo hasi, badala ya onesho walilofanya.
Mashabiki wa muziki wa Kenya wameyabatiza jina mavazi hayo na kuyaita ‘mavazi ya neti za mbu’, na wengine kudiriki hata kusema yamefanya waonekanae kama ‘mashoga’.
Mavazi hayo waliyavaa kwenye onesho la Mega Party Shanzu Teachers...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Nov
Picha: Sauti Sol watoa orodha ya nyimbo za album yao mpya ‘Live And Die In Afrika’
![Sauti-Sols-Album-Cover](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Sauti-Sols-Album-Cover-300x194.jpg)
Kundi maarufu la muziki Sauti Sol kutoka Kenya, baada ya kuzikonga nyoyo za mashabiki wao kwa single kama ‘Sura Yako’, ‘Nerea’ na ‘Isabella’, sasa wako tayari kuwapakulia album kamili yenye nyimbo 15.
Sauti Sol jana walitoa cover ya album hiyo mpya ‘Live And Die In Afrika’ na baadae kushare orodha ya nyimbo zinazokamilisha album hiyo ikiwa ni album yao ya tatu.
Kwa mujibu wa cover hiyo, ni nyimbo mbili tu kwenye album hiyo ambazo wameshirikisha wasanii wengine, ambazo ni ‘Nerea’...
9 years ago
Bongo514 Sep
Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House
9 years ago
Bongo521 Oct
Picha: Video vixen wa video ya Sauti Sol ‘Shake Yo Bam Bam’ ashinda Miss World Kenya 2015
9 years ago
Bongo504 Jan
New Video: Sauti Sol – Relax
![relax](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/relax-300x194.jpg)
Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya liliumaliza mwaka 2015 likiwa limepeleka sokoni album yao ya tatu, ‘Live and Die in Africa’ ambayo ina mkusanyiko wa hits zao zilizotoka na ambazo hazijatoka. Sauti wanaukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuachia video mpya ya ‘Relax’, wimbo unaopatikana kwenye album hiyo. Itazame hapa
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
AY, Diamond na Sauti Sol we acha tu!
9 years ago
Habarileo15 Aug
Sauti Sol watua, kutumbuiza leo
KUNDI mahiri la muziki nchini Kenya la Sauti Sol jana liliwasili nchini tayari kwa onesho kabambe la muziki la Party in the Park litakalofanyika kwenye viwanja vya Farasi nyuma ya shule ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo17 Aug
Sauti Sol, Mafikizolo wakonga Dar
KUNDI la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini pamoja na kundi la Sauti Sol kutoka Kenya juzi walizikonga nyoyo za mashabiki wao katika tamasha la Party in the Park lililofanyika Oysterbay, Dar es Salaam.