Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mdhibiti mtoto kuvaa mavazi ya ovyo nyumba za ibada

Nakumbuka muda mrefu uliopita niliwahi kuandika kitu kuhusiana na umuhimu wa kuheshimu nyumba za ibada. Katika makala hayo niliwaomba wanawake wawe makini na mavazi wanayotumia kwenye nyumba za ibada.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu, Asema Atamlea Mtoto Wake na Kuvaa Mavazi Yake!

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali  juu ya mavazi yake...

 

9 years ago

Global Publishers

Nape akanusha kukataza kuvaa mavazi ya kubana

Waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo Nape Nnauye. Waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo Nape Nnauye, amekanusha taarifa iliyosambaa mitandaoni inayohusu wizara yake kukataza baadhi ya mavazi hasa sehemu za mikusanyiko ya umma. Amesema Taarifa hizo ni za uzushi na uongo, na kuwataka mamlaka husika kuwachukulia hatua watu waliotoa taarifa za uongo. “Hizo taarifa ni uzushi mtupu na uongo, mamlaka husika wachukue hatua, watimize wajibu wao, watumie sheria iliyopo...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete ahimiza wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu kuvaa mavazi ya heshima

Na Anna Nkinda - Maelezo,  Nachingwea
Wanafunzi wa kike wa vyuo vya ualimu nchini wametakiwa kuvaa mavazi  nadhifu  yanayoendana na maadili ya kazi yao  ili wanafunzi na jamii inayowazunguka ijifunze  kutoka kwao kwani wao ni kioo cha jamii.
Mwito huo umetolewa  hivi karibuni  na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kike  wa chuo cha Ualimu Nachingwea mara  baada ya kumalizika kwa futari aliyoiandaa kwa ajili ya viongozi wa wilaya iliyofanyika  chuoni...

 

11 years ago

Mwananchi

Nafasi ya wazazi katika mavazi ya mtoto

Katika maisha ya familia ndani ya jamii ni muhimu kwa mzazi kujenga utamaduni wa kumfunza watoto wako namna bora ya uvaaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizi kwenye nyumba za ibada

WIZI ni tendo la tabia ya kuiba, vivyo hivyo udokozi kwa kuchukua kitu au mali ya mtu mwingine bila ridhaa yake.  Ni kitendo cha kihuni kinachoendana na tabia mbaya, yaani...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala: Mavazi ya Mama Haya Halibu Tabia ya Mtoto!!

"Naomba niwaulize binadamu alie kwambia mimi nikivaa hivi nitamuhalibu mtoto nani ? acheni akili za kijinga kwasababu wengi wetu tunajua kabisa mtoto hawi na tabia mbaya kwasababu anamuona mama yake kavaa dira au tumbo wazi sisi zamani wazazi wetu walikuwa wanavaa hivi lakini mbona tuliwasumbua mnaboa na kukera pia kama mtoto wangu atahalibika kisa kaniona mimi nimevaa tumbo wazi utakuwa ni umbumbu wake na ujinga wake lakini sidhani kama mavazi yanamualibu mtoto naisi nimalezi peke yake...

 

10 years ago

Habarileo

Waaswa kutotumia nyumba za ibada kunadi wagombea

VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwakumbatia na kuwanadi baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi mbele ya waumini wao kwa kutumia nyumba za ibada.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi waja na mwarobaini wa mabomu nyumba za ibada

Jeshi la Polisi limeanza kutekeleza mkakati kabambe wa ulinzi kwa kuhamasisha makanisa na misikiti nchini, kuunda kamati za ulinzi na usalama ili kujihami na vitendo mbalimbali vya uhalifu ikiwamo ulipuaji wa mabomu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isipeleke siasa katika nyumba za ibada

Tunalaani vikali hatua ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi kufanya kampeni za kisiasa kanisani kwa kuwataka waumini kupinga muundo wa serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kwa madai kwamba muundo huo utasababisha nchi yetu itawaliwe na jeshi eti kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kulipa mishahara ya wanajeshi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani