Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi waja na mwarobaini wa mabomu nyumba za ibada

Jeshi la Polisi limeanza kutekeleza mkakati kabambe wa ulinzi kwa kuhamasisha makanisa na misikiti nchini, kuunda kamati za ulinzi na usalama ili kujihami na vitendo mbalimbali vya uhalifu ikiwamo ulipuaji wa mabomu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwarobaini sukari ya magendo waja

Serikali imeunda kikosi kazi kinachoratibiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kujumuisha Mamlaka ya bandari na vyombo vya ulinzi na usalama ili kudhibiti sukari inayoingia kwa njia za bandari zisizo rasmi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizi kwenye nyumba za ibada

WIZI ni tendo la tabia ya kuiba, vivyo hivyo udokozi kwa kuchukua kitu au mali ya mtu mwingine bila ridhaa yake.  Ni kitendo cha kihuni kinachoendana na tabia mbaya, yaani...

 

9 years ago

Michuzi

Polisi waja na mpango wa kuboresha usalama kwenye jamii

Na. Tamimu Adam – Jeshi la Polisi.
Jeshi la polisi nchini, limeanzisha mpango wa   kuboresha usalama wa jamii  nchi nzima ambao unalenga  kuboresha  utoaji wa huduma bora kwa wananchi, kuboresha mawasiliano  ya ndani na nje ya Jeshi la polisi kwa kuwashirikisha wadau  mbalimbali wa usalama ambapo mpango huo utaanza kutekelezwa katika mkoa wa kipolisi kinondoni  ambapo lengo lake ni  kupunguza uhalifu kwa asilimia kumi ifikapo mwaka 2019.
Akihitimisha  maabara ya mpango huo iliyofanya kazi kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isipeleke siasa katika nyumba za ibada

Tunalaani vikali hatua ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi kufanya kampeni za kisiasa kanisani kwa kuwataka waumini kupinga muundo wa serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kwa madai kwamba muundo huo utasababisha nchi yetu itawaliwe na jeshi eti kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kulipa mishahara ya wanajeshi.

 

10 years ago

Habarileo

Waaswa kutotumia nyumba za ibada kunadi wagombea

VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwakumbatia na kuwanadi baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi mbele ya waumini wao kwa kutumia nyumba za ibada.

 

10 years ago

Mwananchi

Mdhibiti mtoto kuvaa mavazi ya ovyo nyumba za ibada

Nakumbuka muda mrefu uliopita niliwahi kuandika kitu kuhusiana na umuhimu wa kuheshimu nyumba za ibada. Katika makala hayo niliwaomba wanawake wawe makini na mavazi wanayotumia kwenye nyumba za ibada.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar

Mabomu manne ya kivita yamekamatwa yikiwa yamehifadhiwa chini ya ardhi huko katika mji mdogo wa Daraja Bobu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na bomu moja likihusishwa kutumika katika mlipuko uliosababisha kifo cha mtu mmoja Juni 13 mwaka huu katika Manispaa ya Unguja.

 

9 years ago

GPL

POLISI: TUMEMNASA KIJANA NA MABOMU KUMI

Mwandishi wetu JAMANI! Siku chache tu kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania kupitia msemaji wake, Advera Bulimba kupiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya kisiasa nchini kote kwa hofu ya kutokea kwa uvunjifu wa amani, kijana mmoja (jina halikupatikana mara moja) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa madai ya kunaswa na mabomu 10 kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP Justus Kamugisha....

 

11 years ago

Habarileo

Polisi watumia mabomu kutuliza ghasia

JESHI la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia zilizoibuka baina ya wakazi wa eneo la Bahari-Motors, Kijitonyama, wilayani Kinondoni jijini hapa. Ghasia hizo zilitokana na kuchukuliwa kwa magari ambayo yalikuwa yameegeshwa katika gereji iliyopo eneo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani