Mwarobaini sukari ya magendo waja
Serikali imeunda kikosi kazi kinachoratibiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kujumuisha Mamlaka ya bandari na vyombo vya ulinzi na usalama ili kudhibiti sukari inayoingia kwa njia za bandari zisizo rasmi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Polisi waja na mwarobaini wa mabomu nyumba za ibada
9 years ago
Habarileo04 Dec
Ma-RC kujadili magendo ya sukari
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla amesema anatarajia kuzungumza na uongozi wa mkoa wa Tanga na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kudhibiti matumizi mabaya ya bandari na uingizwaji sukari kutoka nje ya nchi kwa njia za panya.
11 years ago
Habarileo19 May
Wizara kudhibiti sukari ya magendo
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imewaomba wadau wa sekta ya sukari nchini wakiwemo wazalishaji katika viwanda vya ndani kuendelea kutoa ushirikiano wa karibu na vyombo vya dola kwa kuhakikisha wanawafichua wafanyabiashara wasio waaminifu wanaoingiza sukari kwa njia ya magendo.
10 years ago
Tanzania Daima03 Nov
Waingizaji sukari ya magendo kusakwa
SERIKALI imetangaza msako mkali kuwanasa waingizaji na wauzaji wa sukari ya magendo iliyoingizwa nchini na kuzagaa kwenye masoko. Pia, maofisa wote wa Mamlaka ya Mapato na ushuru mwingine kwenye bandari...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6W3f9sVUsYg/Vl7zsvaNifI/AAAAAAAAJQs/Y3qkppXxhmc/s72-c/Sukari%2B1.jpg)
RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje
![](http://1.bp.blogspot.com/-6W3f9sVUsYg/Vl7zsvaNifI/AAAAAAAAJQs/Y3qkppXxhmc/s640/Sukari%2B1.jpg)
Na Mwandishi Wetu, KilimanjaroMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Katiba Mpya na mwarobaini wa ufisadi
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Mwarobaini wa wizi mtandaoni upatikane
KUTOKANA na maisha ya usasa duniani yamesababisha utumiaji mkubwa wa teknolojia za kisasa. Hivyo ni muhimu kuwepo na ulinzi walau kuweza kudhibiti maeneo nyeti ambayo yakiachwa yanaweza kusababisha hasara kubwa...
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Sumaye: Hotuba ya JK itakuwa mwarobaini
9 years ago
Habarileo01 Jan
Mwarobaini wizi wa simu wapatikana
WEZI wa simu nchini watakuwa na wakati mgumu baada ya programu maalumu kubuniwa. Programu hiyo inaweza kulinda taarifa zote za simu ya mteja pamoja na simu yenyewe pindi ikiibwa, ambapo mwizi ataweza hadi kupigwa picha bila mwenyewe kutambua.