Sumaye: Hotuba ya JK itakuwa mwarobaini
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema hotuba ya Rais Jakaya Kikwete anayotarajiwa kuitoa katika Bunge Maalumu la Katiba itaondoa hofu kwa wajumbe dhidi ya kutenda kinyume na misimamo ya vyama au vikundi wanavyotoka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/4VsWZIs0BQg/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Katiba Mpya na mwarobaini wa ufisadi
9 years ago
Habarileo01 Jan
Mwarobaini wizi wa simu wapatikana
WEZI wa simu nchini watakuwa na wakati mgumu baada ya programu maalumu kubuniwa. Programu hiyo inaweza kulinda taarifa zote za simu ya mteja pamoja na simu yenyewe pindi ikiibwa, ambapo mwizi ataweza hadi kupigwa picha bila mwenyewe kutambua.
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Mwarobaini sukari ya magendo waja
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Mwarobaini wa wizi mtandaoni upatikane
KUTOKANA na maisha ya usasa duniani yamesababisha utumiaji mkubwa wa teknolojia za kisasa. Hivyo ni muhimu kuwepo na ulinzi walau kuweza kudhibiti maeneo nyeti ambayo yakiachwa yanaweza kusababisha hasara kubwa...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB22 Aug
Gesi si mwarobaini wa umasikini, kazi shambani
![Rais Kikwete na Waziri Muhongo Rais Kikwete na Waziri Muhongo](http://www.raiamwema.co.tz/sites/default/files/styles/medium/public/field/image/367_mwarobaini.jpg?itok=zSL-9PFw)
Angola, Equatorial...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Utafutwe mwarobaini wa watu kutokupiga kura
TUMESHUHUDIA uchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ukimalizika huku wananchi 29,541 pekee wakijitokeza kupiga kura wakati idadi kamili ya waliopaswa kupiga kura ikiwa ni 71,964. Hesabu hiyo ni sawa...
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Polisi waja na mwarobaini wa mabomu nyumba za ibada
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Lipumba atoa mwarobaini kuzuia nakisi ya bajeti