Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwarobaini wizi wa simu wapatikana

WEZI wa simu nchini watakuwa na wakati mgumu baada ya programu maalumu kubuniwa. Programu hiyo inaweza kulinda taarifa zote za simu ya mteja pamoja na simu yenyewe pindi ikiibwa, ambapo mwizi ataweza hadi kupigwa picha bila mwenyewe kutambua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWAROBAINI WA MIGOGORO YA WAFANYABIASHARA WA AFRIKA MASHARIKI WAPATIKANA

 Jaji Mstaafu,Thomas Mihayo akichangia maada Wadau katika Mkutano wa Kimataifa wa Kutatua migogoro ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.  Jaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki,Kitengo Usuluhishi,Fakihi Jundu akizungumza na vyombo vya habari katika  Mkutano wa Kimataifa wa Kutatua migogoro ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.Balozi wa...

 

5 years ago

Michuzi

MWAROBAINI WA BARABARA MANISPAA YA IRINGA WAPATIKANA-KAIMU MEYA RYATA

Kaimu Meya wa Manispaa ya Iringa Joseph Nzala Ryata akiwa katika mtaa wa Kihodombi manispaa ya Iringa akizindua mkakati wa kukarabati wa barabara za manispaa ya Iringa mara baada ya mvua kupungua

Katapila likiwa katika mtaa wa Kihodombi likisembua Barabara ya mtaa huo ikiwa ni siku ya uzinduzi wa mkakati wa Halmashauri ya manispaa ya Iringa.
********************************

NA FREDY MGUNDA, IRINGA.

Kaimu Meya wa Manispaa ya Iringa Joseph Nzala Ryata amezindua rasmi mkakati maalum wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwarobaini wa wizi mtandaoni upatikane

KUTOKANA na maisha ya usasa duniani yamesababisha utumiaji mkubwa wa teknolojia za kisasa. Hivyo ni muhimu kuwepo na ulinzi walau kuweza kudhibiti maeneo nyeti ambayo yakiachwa yanaweza kusababisha hasara kubwa...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

10 years ago

Michuzi

Washindi bora wa ubunifu wa program za simu wapatikana

Mshindi wa shindano la kutafuta vipaji vya ugunduzi wa program za simu la AppyStar lililoandaliwa na Vodacom Tanzania Bw.Roman Mbwasi(kushoto)akimsikiliza jambo Meneja wa Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Abigail Ambweni(kulia)alipotembelea makao makuu ya mtandao huo uliopo Mlimani City jijini Dares Salaam,Mshindi huyu amejinyakulia zawadi ya shilingi milioni 2 na atakwenda Bangalore nchini India kushiriki katika awamu ya pili ya shindano hili ngazi ya kimataifa litakalofanyika Januari...

 

11 years ago

Mwananchi

Shahidi kesi wizi wa simu JNIA afunguka

>Shahidi wa tatu katika kesi ya wizi wa simu zenye thamani ya Sh19 milioni, Koplo Frain amedai waliweka mtego uliofanikisha kuwakamatwa washtakiwa sita wakiwa na simu baada ya kuuziana.

 

9 years ago

GPL

TIGO YAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU, KUZUIA WIZI WA SIMU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Binilith Mahenge (katikati) akizungumza jambo.  Kushoto kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) na Mkurugenzi Mkuu wa Huduma ya Simu Tigo, Diego Gutierrez. Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.…

 

10 years ago

GPL

JAMAA ANUSA KIFO, WIZI WA FEDHA KWA MITANDAO YA SIMU

Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Ijumaa wikienda
Kibano! Jamaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akinusa kifo baada ya kula kipigo ‘hevi’ wakati akifanya jaribio la wizi wa fedha kiasi cha shilingi laki 450,000 kupitia huduma za fedha kwa mitandao ya simu. Akiomba kuachiwa baada ya kupewa kichapo kikali. Tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani