Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMAA ANUSA KIFO, WIZI WA FEDHA KWA MITANDAO YA SIMU

Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Ijumaa wikienda
Kibano! Jamaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akinusa kifo baada ya kula kipigo ‘hevi’ wakati akifanya jaribio la wizi wa fedha kiasi cha shilingi laki 450,000 kupitia huduma za fedha kwa mitandao ya simu. Akiomba kuachiwa baada ya kupewa kichapo kikali. Tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ANUSA KIFO WIZI WA BODABODA!

Dustan Shekidele, Morogoro
JAMAA aliyetajwa kwa jina moja la Aziz, amenusa kifo laivu baada ya kupokea kipigo ‘hevi’ kisha kukamatwa akituhumiwa kwa wizi wa pikipiki almaarufu bodabodaKwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, jamaa alikamatwa hivi karibuni usiku mnene akidaiwa kutaka kutekeleza uhalifu huo jirani na Kumbi za Starehe za Nyumbani Park na Samaki Sports zilizopo maeneo ya Kihonda mjini hapa. Aziz...

 

11 years ago

GPL

BODABODA ANUSA KIFO KISA, KUKWAPUA SIMU!

Stori: Mwandishi Wetu Za mwizi arobaini! Ule mchezo wa kukwapua vitu na kukimbia umemtokea puani dereva wa pikipiki almaarufu bodaboda aliyetambulika kwa jina la Abuu Athumani (28) ambaye amenusa kifo baada ya kukwapua simu ya bei mbaya ya mrembo aitwaye Zaituni Hamisi. Dereva wa bodaboda aliyetambulika kwa jina la Abuu Athumani ambaye amenusa kifo baada ya kukwapua simu.
Tukio hilo la aina yake lilijiri majira ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao

Jitihada za Serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitalaa yenye somo la ulinzi wa  mitandao.

 

10 years ago

Vijimambo

Wizi wa fedha kupitia mitandao wazidi kuzitesa benki

Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu.
Wizi wa fedha kwa njia ya mtandao kupitia mashine maalum za kutolea fedha (ATM) unaendelea kuzitesa benki mbalimbali nchini ambapo kwa sasa wahalifu hao wanahamisha fedha za wateja wakiwa nje ya nchi kwa kutumia kadi za kutolea fedha.

Wizi huo hufanyika kwa kutumia kadi za kutolea fedha zinazoingiliana na benki zingine (smart card) ambazo mteja wa benki anaweza kutolea fedha akiwa popote duniani kupitia ATM.

Chanzo chetu cha habari kimetufahamisha kuwa wezi...

 

9 years ago

Mwananchi

Kandoro alia na wizi kwa njia ya mitandao

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro ameitaka Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA) kushirikiana na kampuni za simu za mkononi kudhibiti wimbi la wizi wa kutumia mitandao ulioibuka nchini

 

10 years ago

GPL

SAUDA MWILIMA ANUSA KIFO

Stori: Musa Mateja na Gladness Mallya
MUNGU mkubwa! Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Mlimani City jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita. Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima. Ajali hiyo ilitokea katika mataa ya kuongozea magari yaliyopo maeneo hayo ambapo lori lilikosea njia na kugonga gari lake aina ya Toyota Ipsum na kuharibika huku mwenyewe akipata majeraha...

 

10 years ago

GPL

KISA PASAKA, AKWAPUA, ANUSA KIFO

TAMAA ya kutaka Sikukuu ya Pasaka iwe nzuri kwa kufanya matanuzi kwa pesa za kuzipata kirahisi pasipo kutoka jasho, wiki iliyopita zilimponza kijana mmoja ambaye jina lake halikupatikana, baada ya kujikuta akichezea kichapo ‘hevi’ hadi kuvunjwa miguu, baada ya kujaribu kuiba baiskeli katika Soko la Mwembe Chai, lililopo Magomeni jijini Dar es Salaam. Mwizi baada ya kupokea kichapo toka kwa wananchi. Kijana huyo...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kortini kwa wizi, utakatishaji fedha



NA FURAHA OMARY
MFANYAKAZI wa Benki ya CRDB, Telesphory Gura (43), amefikishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kumwibia mwajiri wake sh. milioni 241 na kutakatisha fedha haramu.
Gura, mkazi wa Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam, alifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mkazi Frank Moshi.
Wakili wa Serikali, Genes Tesha, alimsomea Gura mashitaka matano ya wizi wa sh. 241,163,668 na ya kutakatisha fedha zaidi ya sh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani