Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizi wa fedha kupitia mitandao wazidi kuzitesa benki

Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu.
Wizi wa fedha kwa njia ya mtandao kupitia mashine maalum za kutolea fedha (ATM) unaendelea kuzitesa benki mbalimbali nchini ambapo kwa sasa wahalifu hao wanahamisha fedha za wateja wakiwa nje ya nchi kwa kutumia kadi za kutolea fedha.

Wizi huo hufanyika kwa kutumia kadi za kutolea fedha zinazoingiliana na benki zingine (smart card) ambazo mteja wa benki anaweza kutolea fedha akiwa popote duniani kupitia ATM.

Chanzo chetu cha habari kimetufahamisha kuwa wezi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JAMAA ANUSA KIFO, WIZI WA FEDHA KWA MITANDAO YA SIMU

Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Ijumaa wikienda
Kibano! Jamaa mmoja ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akinusa kifo baada ya kula kipigo ‘hevi’ wakati akifanya jaribio la wizi wa fedha kiasi cha shilingi laki 450,000 kupitia huduma za fedha kwa mitandao ya simu. Akiomba kuachiwa baada ya kupewa kichapo kikali. Tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao

Jitihada za Serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitalaa yenye somo la ulinzi wa  mitandao.

 

5 years ago

Michuzi

MTUMISHI WA BENKI YA BOA KIZIMBANI AKIKABILIWA NA MASHTAKA SABA YA WIZI, UTAKATISHAJI FEDHA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV MTUMISHI benki ya Boa, Nahami Mwaipyana, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka saba ya wizi akiwa Mtumishi na shtaka moja la utakatishaji wa fedha wa zaidi ya USD 35 elfu na Tsh. Milioni mbili.
Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali Mwandamizi Anna Chimpaye amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kuwa mshtakiwa ametenda makosa ya wizi akiwa mtumishi katika tarehe tofauti tofauti kuanzia Januari 2017 hadi Novemba...

 

5 years ago

Michuzi

WATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa. 
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wizi wa magari yasio na ufunguo wazidi

Magenge ya uhalifu yanaendelea kuyalenga magari yasio na funguo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kandoro alia na wizi kwa njia ya mitandao

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro ameitaka Mamlaka ya Mawasilino Tanzania (TCRA) kushirikiana na kampuni za simu za mkononi kudhibiti wimbi la wizi wa kutumia mitandao ulioibuka nchini

 

11 years ago

Habarileo

Mbulgaria jela miaka 3 kwa wizi kupitia ATM

RAIA wa Bulgaria, Todor Peev amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini baada ya mahakama kumtia hatiani kutokana na makosa 20 ya wizi wa Sh milioni 12.2 kupitia mashine za kutolea fedha (ATM) katika benki mbalimbali.

 

10 years ago

Ykileo

INDIA YADHAMIRIA KUKABILIANA NA WIZI KUPITIA MASHINE ZA ATM

Katika Mkutano uliofanyika Nchini India, Mbali na maelezo ya jitihada na dhamira kubwa katika kuwekeza katika maswala ya teknolojia kupitia kampeni yao ya DIGITAL INDIA, Pia nchi imepata kuelezea dhamira yao ya kuwekeza zaidi kwa kutoa misaada ya kimasomo ( Scholarships ) kwa wale watakao kuwa wakisomea masomo yatakayo wezesha kukuza na kufanikisha jitihada zao za Digital India.


Aidha, Kwa Upande mwingine – Wameweza kukubali tatizo linalo ambatana na ukuaji wa technolojia ni uhalifu mtandao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani