Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizi wa magari yasio na ufunguo wazidi

Magenge ya uhalifu yanaendelea kuyalenga magari yasio na funguo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Magari yasio na dereva kuendeshwa UK

Serikali inataka Uingereza kutambulika ulimwenguni kama kiongozi wa teknolojia ya magari yasiokuwa na dereva.

 

10 years ago

BBCSwahili

Magari yasio na dereva kutumika UK

Magari hayo yamezinduliwa katika maeneo manne nchini Uingereza ambapo serikali inaangazia teknologia hiyo mpya

 

10 years ago

Vijimambo

Wizi wa fedha kupitia mitandao wazidi kuzitesa benki

Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu.
Wizi wa fedha kwa njia ya mtandao kupitia mashine maalum za kutolea fedha (ATM) unaendelea kuzitesa benki mbalimbali nchini ambapo kwa sasa wahalifu hao wanahamisha fedha za wateja wakiwa nje ya nchi kwa kutumia kadi za kutolea fedha.

Wizi huo hufanyika kwa kutumia kadi za kutolea fedha zinazoingiliana na benki zingine (smart card) ambazo mteja wa benki anaweza kutolea fedha akiwa popote duniani kupitia ATM.

Chanzo chetu cha habari kimetufahamisha kuwa wezi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wizi wa magari ni balaa tupu

Dar es Salaam. Wezi wa vifaa vya magari jijini hapa wameunda mtandao mzito kama vile wana ‘serikali yao’ inayowalazimisha waathirika kuacha kutoa taarifa polisi badala yake kwenda kununua upya vifaa kwa wezi hao.

 

10 years ago

Habarileo

Wakenya 4 mbaroni kwa wizi wa magari

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence NgonyaniPOLISI Mkoa wa Kilimanjaro, inawashikilia wezi wanne wa magari akiwamo mwanamke mmoja wote raia wa Kenya, kwa tuhuma za wizi wa gari na kutaka kulificha nchini Tanzania.

 

10 years ago

GPL

MKE WA KIGOGO MBARONI KWA WIZI WA MAGARI

Stori: Na Makongoro Oging’ Nuru Ramadhani Nasibu (pichani), mkazi wa jijini Dar es Salaam aliyekuwa akitafutwa na polisi wa nchini na wa kimataifa (Interpol) kwa kuhusishwa na wizi wa kuaminiwa wa magari matatu mali ya Dk. Emmanuel Matech  ametiwa mbaroni. Nuru Ramadhani Nasibu, mkazi wa jijini Dar es Salaam anayetuhumiwa kwa wizi wa magari. Taarifa zilizopatikana ndani ya jeshi hilo juzi zinadai mwanamke huyo alitiwa...

 

10 years ago

GPL

WIZI WA MAFUTA KATIKA FOLENI ZA MAGARI DAR

Vijana wakichukua mafuta toka kwenye lori. …Wakimimina mafuta kwenye madumu.
Madumu ya  mafuta yakiwa tayari…

 

5 years ago

CCM Blog

POLISI TANZANIA WAKAMATA MAGARI YA WIZI 130 NA PIKIPIKI 193

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limekamata magari 130, pikipiki 193, vipuri mbalimbali vya magari na pikipiki 753 katika operesheni iliyoendeshwa nchi nzima.
Akizungumza leo Jumamosi Machi 28, 2020 Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCI) Robert Boaz amesema wanawahoji watuhumiwa 128 na pindi upelelezi utakapokamilika sheria itachukua mkondo wake.

“Wanunuzi wa magari yaliyotumika ni muhimu kabla ya kununua wajiridhishe muuzaji ni mmiliki halali kwa kutumia polisi kukagua gari hilo na...

 

5 years ago

Michuzi

Magari ya kifahari Njombe yashikiliwa na polisi kwa kushtukiwa ni ya wizi

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Jeshi la polisi mkoani Njombe limefanikiwa kukamata mtandao wa watu 23 wanaotuhumiwa kujihusisha na wizi wa mali mbalimbali yakiwemo magari matano,pikipiki 23 pamoja na vitu mbalimbali vya ndani zikiwemo tv.
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Rashid Ngonyani mbele ya vyombo vya habari amesema ,kukamatwa kwa mali hizo kumekuja baada ya kufanyika kwa oparesheni mbalimbali za mitandao ya wizi.
“tunawashikilia watu 23 kwa makosa mbali mbali,watano kwa wizi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani