Wizi wa magari ni balaa tupu
Dar es Salaam. Wezi wa vifaa vya magari jijini hapa wameunda mtandao mzito kama vile wana ‘serikali yao’ inayowalazimisha waathirika kuacha kutoa taarifa polisi badala yake kwenda kununua upya vifaa kwa wezi hao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPsC546oaprouqWMAFUkwfzy5qhCY7kz2*CA985fdIA6dVdi*9*cmav1iIkNwbewwYKEVBaq6IVCq0NRuzWqDOPg/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
NDOTO NYINGINE BALAA TUPU!
Ndoto bwana, mara nyingine ziko poa mara nyingine unajilaumu kwa nini ulilala. We fikiria unaweza kuota unafukuzwa na mbwa mtaani huna hata nguo moja, kila ukikata kona huyu hapa, unaamka jasho chapachapa, au unaota uko vitani tena zile vita za kizamani za mapanga, ile unataka kukatwa kichwa unashtuka, ukitaka kulala inarudia palepale utadhani unaangalia muvi. Halafu kuna zile ndoto za maudhi, we fikiria unaota umekaribishwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5W1fGMD3XQTUpAsup-ugIBV2R6vWoNgpTipGru7JfiSAPytz*g5PJXrA-M2XebI9v*topEX9RlNc-ENJtaVJ3tpUX85wQZLN/mariamenounostwitterwallpaper.jpg?width=650)
UNYAGO WA KICHINA NA WANAWAKE WA KISASA, BALAA TUPU
Kama kawa nimerudi tena nikiwa na hasira kama faru aliyejeruhiwa, nakuuliza hivi kwa nini lakini? Tabia hiyo ndo uliyofundwa mkoleni? Jamani kabila lako si ndiyo mafundi wa kuwaweka ndani wanawari, mnafundishwa nini, kuogea machicha ya nazi? Loh! Mwana mbona unatia aibu kabila lako? Unamuaibisha somo yako na kuonekana mafunzo yote aliyokupa ulipokuwa mkoleni kazi bure.Jamani hivi ewe mwana, kutulia kwako kuna nini? Nyumba...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PpxOhq6_WDI/UvsXfdr8SSI/AAAAAAAFMdw/-1izxQdMW7Y/s72-c/mkalapa+Masasi+(3).jpg)
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi mkoani Mtwara ni balaa tupu
Na Abdulaziz Video,Masasi.
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi eneo la Kijiji cha Mkalapa,limekuwa ni majanga matupu kama inavyoonekana katika picha hapo chini,kwani barabara hiyo imeharibika vibara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha matika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Abiria wanaofanya safari katika maeneo hayo,inapaswa wajiandae kwa kupoteza masaa kadhaa katika eneo hilo,kwani mambo hayajakaa sawa.
Hivyo wakala wa Barabara Mkoa wa Mtwara (TANROADS),wanapaswa kulishughulikia swala...

BBCSwahili28 Oct
Wizi wa magari yasio na ufunguo wazidi
Magenge ya uhalifu yanaendelea kuyalenga magari yasio na funguo.
10 years ago
Habarileo05 Jun
Wakenya 4 mbaroni kwa wizi wa magari
POLISI Mkoa wa Kilimanjaro, inawashikilia wezi wanne wa magari akiwamo mwanamke mmoja wote raia wa Kenya, kwa tuhuma za wizi wa gari na kutaka kulificha nchini Tanzania.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYigzBIU5UtXa8XhmxA1O0MnZNtqvchgwBeQnZaKEV6fOXoqwhwnkfgMdpMsER-IEMwQ-U1mvRkjOAU-asYMpkqA/mke.jpg?width=650)
MKE WA KIGOGO MBARONI KWA WIZI WA MAGARI
Stori: Na Makongoro Oging’ Nuru Ramadhani Nasibu (pichani), mkazi wa jijini Dar es Salaam aliyekuwa akitafutwa na polisi wa nchini na wa kimataifa (Interpol) kwa kuhusishwa na wizi wa kuaminiwa wa magari matatu mali ya Dk. Emmanuel Matech ametiwa mbaroni. Nuru Ramadhani Nasibu, mkazi wa jijini Dar es Salaam anayetuhumiwa kwa wizi wa magari. Taarifa zilizopatikana ndani ya jeshi hilo juzi zinadai mwanamke huyo alitiwa...
10 years ago
GPLWIZI WA MAFUTA KATIKA FOLENI ZA MAGARI DAR
Vijana wakichukua mafuta toka kwenye lori. …Wakimimina mafuta kwenye madumu.
Madumu ya mafuta yakiwa tayari…
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-huew_CtEXno/XoYE1Z1cLJI/AAAAAAAC85Y/64VzLVcjhpAXtCwI2UjzMC8CIiF2w9wDACLcBGAsYHQ/s72-c/2.png)
Magari ya kifahari Njombe yashikiliwa na polisi kwa kushtukiwa ni ya wizi
Na Amiri Kilagalila, Njombe
Jeshi la polisi mkoani Njombe limefanikiwa kukamata mtandao wa watu 23 wanaotuhumiwa kujihusisha na wizi wa mali mbalimbali yakiwemo magari matano,pikipiki 23 pamoja na vitu mbalimbali vya ndani zikiwemo tv.
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Rashid Ngonyani mbele ya vyombo vya habari amesema ,kukamatwa kwa mali hizo kumekuja baada ya kufanyika kwa oparesheni mbalimbali za mitandao ya wizi.
“tunawashikilia watu 23 kwa makosa mbali mbali,watano kwa wizi wa...

CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-SNqeSTe-q28/Xn9Dhgpws-I/AAAAAAAAxR8/9elLBNc5ZpkFKjPQyj38GSRZ0Ilay8ZIQCLcBGAsYHQ/s72-c/matukio%252Bpic.jpg)
POLISI TANZANIA WAKAMATA MAGARI YA WIZI 130 NA PIKIPIKI 193
![](https://1.bp.blogspot.com/-SNqeSTe-q28/Xn9Dhgpws-I/AAAAAAAAxR8/9elLBNc5ZpkFKjPQyj38GSRZ0Ilay8ZIQCLcBGAsYHQ/s640/matukio%252Bpic.jpg)
Akizungumza leo Jumamosi Machi 28, 2020 Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCI) Robert Boaz amesema wanawahoji watuhumiwa 128 na pindi upelelezi utakapokamilika sheria itachukua mkondo wake.
“Wanunuzi wa magari yaliyotumika ni muhimu kabla ya kununua wajiridhishe muuzaji ni mmiliki halali kwa kutumia polisi kukagua gari hilo na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania