Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magari yasio na dereva kuendeshwa UK

Serikali inataka Uingereza kutambulika ulimwenguni kama kiongozi wa teknolojia ya magari yasiokuwa na dereva.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Magari yasio na dereva kutumika UK

Magari hayo yamezinduliwa katika maeneo manne nchini Uingereza ambapo serikali inaangazia teknologia hiyo mpya

 

10 years ago

BBCSwahili

Wizi wa magari yasio na ufunguo wazidi

Magenge ya uhalifu yanaendelea kuyalenga magari yasio na funguo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Magari ya google yasiyo na dereva

Magari ya google yasiyo na dereva. Je yataendeshwa vipi?

 

11 years ago

BBCSwahili

Magari bila ya dereva Uingereza

Uingereza itaruhusu magari bila ya dereva katika miezi 6 ijayo

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magari yaua dereva wa bajaji, pikipiki

DEREVA wa bajaj, Frank Satrun (26), mkazi wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia juzi baada ya kugongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasayansi wa kampuni ya Google: Wabuni magari yasiyotumia dereva

Inawezekana kuwa na magari yasiyokuwa na dereva? Kampuni ya mawasiliano ya kompyuta ya Google inasema ndiyo. Magari hayo yapo na yataongozwa kwa kutumia kompyuta pekee, huku yakiwa na uwezo mkubwa wa kuepuka au kutosababisha ajali barabarani.

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida akataza warsha kuendeshwa kwa kiingereza

 DSC01334

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza kwenye ufunguaji wa warsha ya wadau kujadili rasimu ya mwisho ya taarifa ya mpango wa usimamizi na uendelezaji wa pamoja wa rasilimali za maji wa bodi ya maji ya bonde la kati, liyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aquar Vitae hotel mjini Singida.

Na Abby Nkungu, Singida

MKUU wa mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone alilazimika kumtaka mshereheshaji katika Warsha ya Wadau wa Rasimu ya Mpango wa Usimamizi na Uendelezaji wa pamoja wa...

 

5 years ago

Michuzi

MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI

AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Update:Matokeo yasio rasmi — Zanzibar

Majimbo ambayo CUF inaongoza Unguja (habari kama tulivyozipokea): Chukwani Bububu Mtoni Malindi Mto Pepo Kwerekwe Kijini Nungwi Pangawe P:S **Matokeo rasmi kuthibitishwa na ZEC

The post Update:Matokeo yasio rasmi – Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani