Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAROBAINI WA MIGOGORO YA WAFANYABIASHARA WA AFRIKA MASHARIKI WAPATIKANA

 Jaji Mstaafu,Thomas Mihayo akichangia maada Wadau katika Mkutano wa Kimataifa wa Kutatua migogoro ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.  Jaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki,Kitengo Usuluhishi,Fakihi Jundu akizungumza na vyombo vya habari katika  Mkutano wa Kimataifa wa Kutatua migogoro ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.Balozi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mwarobaini wizi wa simu wapatikana

WEZI wa simu nchini watakuwa na wakati mgumu baada ya programu maalumu kubuniwa. Programu hiyo inaweza kulinda taarifa zote za simu ya mteja pamoja na simu yenyewe pindi ikiibwa, ambapo mwizi ataweza hadi kupigwa picha bila mwenyewe kutambua.

 

5 years ago

Michuzi

MWAROBAINI WA BARABARA MANISPAA YA IRINGA WAPATIKANA-KAIMU MEYA RYATA

Kaimu Meya wa Manispaa ya Iringa Joseph Nzala Ryata akiwa katika mtaa wa Kihodombi manispaa ya Iringa akizindua mkakati wa kukarabati wa barabara za manispaa ya Iringa mara baada ya mvua kupungua

Katapila likiwa katika mtaa wa Kihodombi likisembua Barabara ya mtaa huo ikiwa ni siku ya uzinduzi wa mkakati wa Halmashauri ya manispaa ya Iringa.
********************************

NA FREDY MGUNDA, IRINGA.

Kaimu Meya wa Manispaa ya Iringa Joseph Nzala Ryata amezindua rasmi mkakati maalum wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WAFANYA MKUTANO KUJADILI MASWALA YA KIBIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI

Ofisa mikopo kwa wateja wadogowadogo wa Benki ya KCB Tanzania,Teresia Soko akitoa mada kuhusiana na baadhi ya huduma za benki hiyo kwa Wafanyabiashara mbalimbali wa mipaka ya Tanzania,Ambao walikutana jijini Arusha kujadili mikakati ya kibiashara katika soko la jumuiya ya afrika mashariki. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard Sesibera(kushoto)akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika mashariki,Felix Mosha,wakati wa mkutano wa...

 

11 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA WAFANYA MKUTANO KUJADILI MASWALA YA KIBIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI‏

Ofisa mikopo kwa wateja wadogowadogo wa Benki ya KCB Tanzania, Teresia Soko akitoa mada kuhusiana na baadhi ya huduma za benki hiyo kwa wafanyabiashara mbalimbali wa mipaka ya Tanzania, ambao walikutana jijini Arusha kujadili mikakati ya kibiashara katika soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Richard Sesibera (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.

Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi  kutoka nchi mbalimbali Duniani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...

 

9 years ago

Vijimambo

TAASISI YA UTAFITI YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI (ESAURP)YAANDAA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MKOANI MBEYA


Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika ( ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika mafunzo hayo ya siku tano yaliyolenga kuwapatia...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali imalize migogoro yake na wafanyabiashara

Mgomo uliofanywa na wafanyabiashara wa maduka katika baadhi ya mikoa nchini kwa siku mbili mfululizo wiki hii umedhihirisha kwamba mgogoro wa siku nyingi kati ya wafanyabiashara hao na Serikali kuhusu matumizi ya mashine za kutolea risiti za elektroniki (EFD), bado haujapata suluhisho la kudumu. 

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani