Serikali imalize migogoro yake na wafanyabiashara
Mgomo uliofanywa na wafanyabiashara wa maduka katika baadhi ya mikoa nchini kwa siku mbili mfululizo wiki hii umedhihirisha kwamba mgogoro wa siku nyingi kati ya wafanyabiashara hao na Serikali kuhusu matumizi ya mashine za kutolea risiti za elektroniki (EFD), bado haujapata suluhisho la kudumu.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Serikali imalize mzozo wa Tunduma kwa amani
10 years ago
Michuzi
MWAROBAINI WA MIGOGORO YA WAFANYABIASHARA WA AFRIKA MASHARIKI WAPATIKANA



11 years ago
Mwananchi05 Mar
Serikali inafaidika na migogoro ya walimu?
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Serikali yakiri viongozi kusababisha migogoro
SERIKALI imekiri kuwapo kwa baadhi ya viongozi wa serikali ambao wamekuwa ni sehemu ya migogoro katika Wilaya ya Meatu. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa, alitoa kauli hiyo...
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Serikali imelala migogoro ya wakulima na wafugaji?
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Serikali yashambuliwa kukithiri migogoro ya ardhi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Moza Abeid (CUF), ameishambulia serikali na kueleza kuwa migogoro mingi ya ardhi ambayo inaonekana kupamba moto nchini inachangiwa kwa kiasi kikubwa na serikali. Moza alisema kuwa...
10 years ago
Habarileo08 Mar
Kinana aibana serikali vifo migogoro ya ardhi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametaka viongozi wote wa serikali waliozembea na kusababisha kuendelea kutokea kwa mauji baina ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto kuwajibika haraka.
9 years ago
Habarileo24 Dec
‘Serikali ijizatiti kukomesha migogoro wakulima, wafugaji’
MBUNGE wa Viti Maalumu, Gimbi Masaba (Chadema) ameiomba serikali kujizatiti kukomesha migogoro ya mara kwa mara kati ya wakulima na wafugaji ambayo imekuwa ikigharimu maisha ya watu na mifugo.
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Serikali yaandaa mkakati kukomesha migogoro ya ardhi
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Ukuzaji wa Viumbe Majini, Kajitanus Osewe, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk. Abdu Hyghaimo na Ofisa Mawasiliano wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Judith Mhina.
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo nchini, Dk. Abdu Hyghaimo (wapili kushoto) akitoa ufafanuzi wa jambo.
Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.
SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, ipo mbioni kuandaa waraka wa matumizi endelevu ya ardhi utakaowezesha kupata suluhu...