Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafutwe mwarobaini wa watu kutokupiga kura

TUMESHUHUDIA uchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ukimalizika huku wananchi 29,541 pekee wakijitokeza kupiga kura wakati idadi kamili ya waliopaswa kupiga kura ikiwa ni 71,964. Hesabu hiyo ni sawa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DARAJA LA EDMUND PETTUS ALILOTUMIA DR KING KWA MATEMBEZI YA KUPINGA WEUSI KUTOKUPIGA KURA

Hili ndio daraja lililopo mji wa Selma jimbo la Alabama yalikofanyika matembezi yaliyoongozwa na Dr Martin Luther King mwaka 1965 kupinga Wamarekani weusi kutokupiga kura katika matembezi hayo ambayo mara ya kwanza yalishindwa baada ya polisi kuapiga Wamerekani weusi na wengine kupoteza maisha na mara ya pili ya matembezi hayo kuungwa mkono na Wamarekani wa rangi zote kutoka majimbo mengine huku yakiongozwa na Dr. Martin Luther King mwenyewe japo hawakuweza kuvuka lakini mauaji hayakutokea...

 

10 years ago

CloudsFM

Watu milioni 11 tu kupiga kura J’pili

UMLA ya Watanzania milioni 11.4 wamejiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Jumapili wiki hii, sawa na asilimia 62 ya lengo lililowekwa.
Katika uchaguzi huo, watakaochaguliwa ni wenyeviti wa vijiji na wajumbe wa halmashauri za vijiji, wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa kamati za mitaa na wenyeviti wa vitongoji.

Mkoa wa Katavi umeongoza kwa kuandikisha asilimia 78 ya wapigakura huku mkoa wa Dar es Salaam umetajwa kufanya vibaya katika kuandikisha wapiga kura,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini watu hawapendi kupiga kura?

TUMESHUHUDIAuchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ukimalizika huku wananchi 29,541 pekee wakijitokeza kupiga kura wakati idadi kamili ya waliopaswa kupiga kura ikiwa ni 71,964. Hesabu hiyo ni sawa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watu 92,000 kupiga kura Chalinze

JUMLA ya watu 92,939 wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Chalinze utakaofanyika Jumapili ijayo. Takwimu hizo zilitolewa wilayani hapa juzi na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ni kosa kushawishi watu wasipige Kura ya Maoni’

>“Siyo vizuri kukataza watu kushiriki shughuli halali kisheria. Aidha, siyo vizuri kuanza kujenga tabia ya kushinikiza mamlaka halali kufanya uamuzi ili kukidhi matakwa ya vikundi vichache vya watu wanaotoa shinikizo hayo.”

 

11 years ago

Mwananchi

Zitafutwe sababu watu kutoshiriki kupiga kura

Hatuna uhakika kama Serikali ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi (SMZ) au tume za uchaguzi za Nec na Zec zimejishughulisha kwa namna yoyote ile, kupata jibu na sababu zinazowafanya wananchi washindwe kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini.

 

10 years ago

Bongo5

Taarifa: Uhalali na uwazi wa kura za Tuzo za Watu

Tungependa kutoa taarifa kuelezea baadhi ya duku duku zilizojitokeza miongoni mwa wananchi kuhusiana na uhalali wa majina yaliyoingia kwenye tano bora ya tuzo za watu kutokana na mapendekezo ya wananchi. Baadhi ya wananchi wamekuwa wakionesha wasiwasi kuhusiana na majina yaliyoingia kwenye tano bora kwa kuona kuwa baadhi ya majina waliyoamini yalitakiwa kuingia hayamo. Tunapenda kuwahakikishia […]

 

10 years ago

Michuzi

PIGA KURA UBORESHE MAISHA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

a href="http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/Untitled.jpg">UntitledShirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama "Tulip" itolewayo nchini Uholanzi. Iwapo UTSS watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi makubwa katika uboreshaji wa maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi. 
 Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani