Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lipumba atoa mwarobaini kuzuia nakisi ya bajeti

Bajeti inayotarajiwa kuwasilishwa hivi karibuni bungeni Dodoma haitakuwa na manufaa yoyote kwa Watazania, iwapo Serikali haitakuwa tayari kupunguza nakisi inayotokana na matumizi makubwa yasiyokuwa ya lazima.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

BAJETI YA FEDHA TASLIMU: Makadirio yenye nakisi

BAJETI ya Tanzania imesomwa rasmi kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Kusomwa kwake ni ishara kwamba mwaka wa fedha wa bajeti 2014/2015 utaanza rasmi tarehe mosi Julai, 2014. Suala la muhimu...

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba atoa somo bungeni

Mchumi aliyebobea Profesa Ibrahimu Lipumba, amepinga kauli za kuwa Serikali tatu ina gharama na badala yake akasema wanaopendekeza hizo hawana nia njema na Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

Siro Atoa Ushahidi Kesi ya Profesa Lipumba


MKUU wa Operesheni Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Simon Siro (54) ametoa ushahidi katika kesi inayowakabili Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake 30 na kudai mkutano huo ulipigwa marufuku kutokana na taarifa za intelijensia za kuwapo kwa tishio la ugaidi.Siro aliyaeleza hayo juzi mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Cyprian Mkeha, akiwa shahidi wa upande wa mashtaka.

Alidai Januari 23 mwaka huu walipokea barua ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Siro atoa ushahidi kesi ya Profesa Lipumba

Kamanda+Simon+SiroNa Grace Shitundu, Dar es Salaam

MKUU wa Operesheni Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Simon Siro (54) ametoa ushahidi katika kesi inayowakabili Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake 30 na kudai mkutano huo ulipigwa marufuku kutokana na taarifa za intelijensia za kuwapo kwa tishio la ugaidi.

Siro aliyaeleza hayo jana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Cyprian Mkeha, akiwa shahidi wa upande wa mashtaka.

Alidai Januari 23...

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YAAMUA KUZUIA WABUNGE WAKE KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI,KUKAA KARANTINI KWA SIKU 14 KUKABILI CORONA

 Mwandishi Wetu, Michuzi TV

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA)kimewataka Wabung wake wote kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti pamoja na kuhudhuria vikao vya  Kamati za Bunge.

Pia Chama hicho kimewataka wabunge wake kujiweka karantini kwa muda usiopungua siku14 kama hatua ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambayo ameitoa leo Mei 1,2020  kwa vyombo vya habari amesema ni wakati wa kila mmoja wao kuchukua hatua za kijikinga na...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TARIFA YA UZINDUZI WA CHANJO YA KUZUIA SURUA NA RUBELLA KWA WANDISHI WA HABARI.

 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Wizara hiyo Mnazimmoja kuhusu uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella kwa watoto utakaofanyika kesho Oktoba 18 katika kijiji cha Uroa Mkoa Kusini Unguja.  Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano wa Naibu Waziri wa Afya uliozungumiza uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella itakayoanza kesho kijiji cha Uroa. Mratibu wa chanjo Zanzibar Yussuf Haji Makame akitoa...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA YA UZINDUZI WA CHANJO YA KUZUIA SURUA NA RUBBELA KWA WAANDISHI WA HABARI

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Wizara hiyo Mnazi mmoja kuhusu uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella kwa watoto utakaofanyika katika kijiji cha Uroa Mkoa Kusini Unguja. Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano wa Naibu Waziri wa Afya uliozungumzia uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na… ...

 

5 years ago

Michuzi

BAJETI YA FEDHA ZAIDI YA DOLA MILIONI 94 YAPITISHWA JUMUIYA YA SADC, MAWAZIRI WAWEKA MKAKATI KUKABILI CORONA...WAZIRI PROF. KABUDI ATOA NENO

Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii

JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC)imepitisha bajeti ya fedha ya Dola za Marekani milioni 94,913,815 kwa mwaka 2020/ 2021.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo Dk.Stergomena Tac amesema fedha hizo zitatumika kwenye masuala mbalimbali yanayohusu Jumuiya.

"Pamoja na ajenda mbalimbali ambazo zimejadiliwa ,pia Jumuiya imepitisha bajeti ya fedha kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani