Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA YAAMUA KUZUIA WABUNGE WAKE KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI,KUKAA KARANTINI KWA SIKU 14 KUKABILI CORONA

 Mwandishi Wetu, Michuzi TV

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA)kimewataka Wabung wake wote kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti pamoja na kuhudhuria vikao vya  Kamati za Bunge.

Pia Chama hicho kimewataka wabunge wake kujiweka karantini kwa muda usiopungua siku14 kama hatua ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambayo ameitoa leo Mei 1,2020  kwa vyombo vya habari amesema ni wakati wa kila mmoja wao kuchukua hatua za kijikinga na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wabunge wa Chadema wajiweka karantini kuepuka kusambaa kwa virusi.

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimewataka wafuasi wake bungeni kuacha kujhudhuria vikao vya bunge na kukaa mbali na majengo ya bunge ya Dodoma na Dar es salaam ili kuzuwia kusambaa kwa virusi vya corona.

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE 5 WAMEPEWA ADHABU YA KUTOKUHUDHURIA VIKAO VYA MKUTANO WA 20 WA BUNGE.

Wabunge watano wamepewa adhabu ya kutokuhudhuria vikao vya mkutano wa 20 wa bunge, kwa madai ya kukiuka kanuni za bunge na kusababisha vurugu hali iliyopelekea spika wa bunge kuahirisha bunge.

Adhabu hiyo imetolewa na kamati ya haki maadili na madaraka ya bunge ambapo waliosimamishwa ni Mh Tundu Lissu, Mh John Mnyika, Moses Machali, Pauline Gekul na Mh Felix Mkosamali ambao hawataweza kuhudhuria vikao vya bunge hili hadi litakapovunjwa na wabunge wengine wawili Mh Peter Msigwa na Mh Rajab...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanyama wa mwituni wanavyokatiza mitaa ambayo watu wake wanajifungia ndani kuzuia kusambaa kwa Covid-19

Picha za Wanyama hao zimepigwa katika nchi tofauti duniani ambazo raia wake wanatekeleza maelekezo ya kuzuia kasi ya janga la corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona

Misikiti kote nchini Iran imepangiwa kufunguliwa Jumanne hatua inayowadia licha ya kwamba baadhi ya maeneo bado yanaathirika vibaya na janga la virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC SASA KUFANYIKA KWA NJIA YA VIDEO KUEPUKA KITISHO CHA KUSAMBAA KWA VIRUSI VYA UGONJWA WA CORONA



Na Said Mwishehe,Michuzi Blog ya jamii


NCHI za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika( SADC) zimechukua hatua ya vikao vyake kikiwemo cha Baraza la Mawaziri katika nchi hizo kufanya vikao kwa njia ha Video ikiwa ni moja ya mkakati wa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa Corona ( CODIC -19 ).

Akizungumza leo Machi 10 mwaka 2020 ,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert Ibuge amesema kuwa hatua hizo zimetokana na ushauri uliotolewa katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kupingwa kwa amri ya kukaa ndani inayoendelea nchini Marekani

Taarifa kuhusu waandamanaji zimegonga vichwa vya habari ulimwenguni kote, wakipinga marufuku ya kukaa ndani kutokana na sababu za kiuchumi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

11 years ago

Dewji Blog

Toeni kwa wakati vitabu vya makadirio ya bajeti kwa wabunge

Picha-no-2

Toeni Kwa Wakati Vitabu Vya Makadirio… by moblog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani