Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ma-RC kujadili magendo ya sukari

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla amesema anatarajia kuzungumza na uongozi wa mkoa wa Tanga na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kudhibiti matumizi mabaya ya bandari na uingizwaji sukari kutoka nje ya nchi kwa njia za panya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waingizaji sukari ya magendo kusakwa

SERIKALI imetangaza msako mkali kuwanasa waingizaji na wauzaji wa sukari ya magendo iliyoingizwa nchini na kuzagaa kwenye masoko. Pia, maofisa wote wa Mamlaka ya Mapato na ushuru mwingine kwenye bandari...

 

11 years ago

Habarileo

Wizara kudhibiti sukari ya magendo

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imewaomba wadau wa sekta ya sukari nchini wakiwemo wazalishaji katika viwanda vya ndani kuendelea kutoa ushirikiano wa karibu na vyombo vya dola kwa kuhakikisha wanawafichua wafanyabiashara wasio waaminifu wanaoingiza sukari kwa njia ya magendo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwarobaini sukari ya magendo waja

Serikali imeunda kikosi kazi kinachoratibiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kujumuisha Mamlaka ya bandari na vyombo vya ulinzi na usalama ili kudhibiti sukari inayoingia kwa njia za bandari zisizo rasmi.

 

9 years ago

Michuzi

RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla akiwa kwenye ukaguzi wa kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani humo, kama sehemu ya kuangalia hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. Picha na Mpigapicha wetu.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...

 

11 years ago

Mwananchi

Karafuu ya magendo yakamatwa

 Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM)Kisiwani Pemba kimefanikiwa kukamata magunia 34 ya karafuu kavu yaliyokuwa katika harakati ya kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo.

 

11 years ago

Mwananchi

Magogo ya magendo sasa kurudishwa

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imesema shehena ya magogo yaliyokamatwa yakiingizwa nchini kwa njia ya magendo yakitokea Madagascar yatarejeshwa nchini humo, kwa sababu Zanzibar haina sheria ya misitu ya kuwashtaki au kutaifisha shehena aina hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Shehena za magendo zakamatwa Sirari

MAOFISA wa Kituo cha Forodha cha Sirari na wenzao wa kodi za ndani wamekamata magari matatu yenye shehena ya mali za magendo, zinazodaiwa kuingizwa nchini kwa njia za panya kutoka Kenya bila kulipiwa ushuru.

 

10 years ago

Vijimambo

KARAFUU ZA MAGENDO ZAKAMATWA MTAMBWE

Afisa mdhamini wa ZSTC Pemba Bw Abdulla Ali Ussi akitoa maelezo baada Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo., Anaemsikiliza ni Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija,Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija, akionesha Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

TRA yanasa malori ya magendo



NA SAMSON CHACHA, TARIMEUKAMATWAJI wa malori yanayosafirisha mizigo kwa njia ya magendo kutoka Kenya kwa kupitia mpaka Sirari mkoani Mara, umezidi kushika kasi ambapo jana yalikamatwa matatu yaliyosheheni bidhaa mbalimbali zikiwemo nondo na saruji. Magari hayo yalikamatwa kwa ushirikiano wa Maofisa wa Forodha wa kituo cha Sirari wakishirikiana na wenzao wa kodi za ndani  wilayani hapa. Akizungumzia tukio hilo, Meneja wa Forodha Mkoa wa Mara, Ben Usaje, alisema magari hayo ni fuso mbili zenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani