TRA yanasa malori ya magendo
NA SAMSON CHACHA, TARIMEUKAMATWAJI wa malori yanayosafirisha mizigo kwa njia ya magendo kutoka Kenya kwa kupitia mpaka Sirari mkoani Mara, umezidi kushika kasi ambapo jana yalikamatwa matatu yaliyosheheni bidhaa mbalimbali zikiwemo nondo na saruji. Magari hayo yalikamatwa kwa ushirikiano wa Maofisa wa Forodha wa kituo cha Sirari wakishirikiana na wenzao wa kodi za ndani wilayani hapa. Akizungumzia tukio hilo, Meneja wa Forodha Mkoa wa Mara, Ben Usaje, alisema magari hayo ni fuso mbili zenye...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Dec
TRA kupambana na wauza magendo
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaendelea kupambana na wafanyabiashara na watu wote wanaoingiza sukari na bidhaa nyingine nchini, kwa kutumia njia za panya.
10 years ago
Habarileo18 Mar
TRA yakamata bidhaa za magendo za mabilioni
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa za magendo zenye thamani ya Sh milioni 228.4, ikiwa ni katika jitihada za kudhibiti uingizaji wa bidhaa kwa njia ya magendo na biashara ya magendo nchini.
10 years ago
Habarileo11 Apr
Bidhaa za magendo zaipatia TRA mil 258/-
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya kodi na faini ya jumla ya Sh milioni 258.5 kutokana na bidhaa mbalimbali za magendo zilizokamatwa katika kipindi cha Februari na Machi mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi02 Mar
TRA: Hatuna taarifa za makontena ya magogo ya magendo
5 years ago
Michuzi
TRA SONGWE YAGAWA BIDHAA ZILIZOINGIZWA KWA NJIA ZA MAGENDO

Mkoa wa Songwe, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela (aliyevaa miwani) akikagua orodha ya bidhaa ambazo zimetolewa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kutokana na kuwa zimekamatwa kwa njia za njia za magendo na wamiliki hawakujitokeza.

Simenti iliyokamatwa kwa kuingizwa nchini kwa njia za Magendo katika Mpaka wa Tunduma ikitolewa kwa ajili ya kupelekwa katika shule za sekondari za Mkoa wa Songwe.
…………………………………………………………Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) Mkoa wa Songwe imegawa baadhi ya...
10 years ago
Michuzi
TRA YAKUSANYA ZAIDI YA SH.BILIONI 258 KWA FAINI NA KODI ZA BIDHAA ZA MAGENDO
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita imekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 258 zilizotokana na faini ya bidhaa mbalimbali za magendo.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam,amesema TRA inaungana na jeshi la Polisi katika kukamata watu wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa ...
10 years ago
GPL
OFM YANASA YANASA DAWA ZIKIUZWA KIHOLELA
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Karafuu ya magendo yakamatwa
9 years ago
Habarileo04 Dec
Ma-RC kujadili magendo ya sukari
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla amesema anatarajia kuzungumza na uongozi wa mkoa wa Tanga na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kudhibiti matumizi mabaya ya bandari na uingizwaji sukari kutoka nje ya nchi kwa njia za panya.