TRA: Hatuna taarifa za makontena ya magogo ya magendo
Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania Kanda ya Zanzibar (TRA), imesema haina taarifa kuhusu makontena 95 yenye mzigo wa magendo ya magogo yaliosafirishwa kupitia bandari ya Zanzibar yakielekea mataifa ya Mashariki ya Mbali, gazeti hili limebaini hilo jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Magogo ya magendo sasa kurudishwa
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Makontena 31 ya magogo yakamatwa bandarini Dar
11 years ago
Mwananchi15 Feb
TRA mbioni kupiga mnada magogo
10 years ago
Uhuru Newspaper05 Mar
TRA yanasa malori ya magendo
NA SAMSON CHACHA, TARIMEUKAMATWAJI wa malori yanayosafirisha mizigo kwa njia ya magendo kutoka Kenya kwa kupitia mpaka Sirari mkoani Mara, umezidi kushika kasi ambapo jana yalikamatwa matatu yaliyosheheni bidhaa mbalimbali zikiwemo nondo na saruji. Magari hayo yalikamatwa kwa ushirikiano wa Maofisa wa Forodha wa kituo cha Sirari wakishirikiana na wenzao wa kodi za ndani wilayani hapa. Akizungumzia tukio hilo, Meneja wa Forodha Mkoa wa Mara, Ben Usaje, alisema magari hayo ni fuso mbili zenye...
10 years ago
Habarileo17 Dec
TRA kupambana na wauza magendo
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaendelea kupambana na wafanyabiashara na watu wote wanaoingiza sukari na bidhaa nyingine nchini, kwa kutumia njia za panya.
10 years ago
Habarileo18 Mar
TRA yakamata bidhaa za magendo za mabilioni
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa za magendo zenye thamani ya Sh milioni 228.4, ikiwa ni katika jitihada za kudhibiti uingizaji wa bidhaa kwa njia ya magendo na biashara ya magendo nchini.
10 years ago
Habarileo11 Apr
Bidhaa za magendo zaipatia TRA mil 258/-
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya kodi na faini ya jumla ya Sh milioni 258.5 kutokana na bidhaa mbalimbali za magendo zilizokamatwa katika kipindi cha Februari na Machi mwaka huu.
9 years ago
Habarileo10 Dec
TRA yagomea wamiliki wa makontena
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewagomea kulipa kodi bila adhabu baadhi ya wamiliki wa makontena, ambayo yalitoroshwa kwenye bandari kavu bila kulipiwa kodi. Badala yake, TRA imewapelekea hati ya malipo inayowataka wafanyabiashara hao, kuhakikisha wanalipa kodi hiyo na adhabu ndani ya siku saba, la sivyo watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.
9 years ago
Habarileo02 Dec
Makontena yanaswa sakata TRA
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata makontena tisa, yaliyotoroshwa kutoka katika bandari kavu na kuhamishiwa katika eneo la Mbezi Tangi Bovu, Dar es Salaam, hivyo kuwepo na kiashiria cha ukwepaji wa kodi.