TRA mbioni kupiga mnada magogo
Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania(TRA)Kanda ya Zanzibar, imesema shehena ya magendo ya magogo yaliyoingizwa Zanzibar kutokea Madagascar yatapigwa mnada au kuharibiwa baada ya Madagascar kutoa ruhusa maalum imeeelezwa jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 Mar
TRA: Hatuna taarifa za makontena ya magogo ya magendo
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Shehena ya magogo yanaswa
9 years ago
Mwananchi07 Dec
‘Kampuni ya kusafirisha magogo ilidanganya’
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Magogo ya magendo sasa kurudishwa
11 years ago
Habarileo08 Aug
Magogo kuvunwa msitu wa Saohill
WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imetoa vibali vya kuvuna mita za ujazo 488,100 za magogo ya miti katika msitu wake wa Taifa wa Saohill, uliopo wilayani Mufindi mkoani Iringa katika kipindi cha mwaka 2014/2015.
11 years ago
Habarileo02 May
Vijiji vyauza magogo ya Sh mil 203
VIJIJI vitano wilayani Kilwa katika Mkoa wa Lindi vilivyo kwenye mpango maalumu wa kusafirisha na kuuza magogo nje ya nchi, vimejipatia zaidi ya Sh milioni 203 kati ya mwaka jana na mwaka huu kutokana na mauzo hayo.
11 years ago
Habarileo29 Jun
Magogo kwa nishati yaudhi wadau
WAKATI Serikali ya Tanzania ikiungana na nchi za Kenya na Uganda na Umoja wa Mataifa kupiga vita biashara ya magogo katika nchi za ukanda wa maziwa makuu, uongozi wa kiwanda cha kutengeneza nguo cha Sunflag cha jijini hapa umeendelea kutumia magogo kuendeshea mitambo ya kiwanda hicho kikongwe nchini.
5 years ago
Goal.Com30 Mar
Coronavirus: Fufa has not discussed impact – Magogo
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Watanzania 13 washikiliwa Madagascar kwa magogo