Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magogo kuvunwa msitu wa Saohill

WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imetoa vibali vya kuvuna mita za ujazo 488,100 za magogo ya miti katika msitu wake wa Taifa wa Saohill, uliopo wilayani Mufindi mkoani Iringa katika kipindi cha mwaka 2014/2015.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SAOHILL: UTUNZAJI WA MISITU NI FURSA KIUCHUMI.


Moja kati ya maeneo ya uzalishaji wa miche ya miti katika shamba la miti ya sao hill kwa ajili kuendelea kuipanda katika shamba hilo na kwa baadhi ya wananchi wanaolizunguka shamba hiloMoja kati ya eneo la shamba la miti la Sao hill katika wilaya ya Mufindi


NA FREDY MGUNDA,MUFINDI.

Wakala wa Misitu Tanzania TFS kupitisha Shamba la Miti Sao Hill Wilayani Mufindi mkoani Iringa Limewahimiza wananchi kuendelea kuitunza misitu iliyopo katika maeneo yao na kuitumia kuwa fursa ya kiuchumi kwa...

 

5 years ago

Michuzi

SAOHILL WAGAWA MICHE MILIONI MOJA KWA WANANCHI

Wananchi wakiendelea kuchukua miche ya miti kutoka Tarafa ya Nne ya Shamba la Miti SaoHill - Mgololo.



NA FREDY MGUNDA,SAO HILL.

ZAIDI ya miche milioni moja imegawiwa kwa wananchi wa vijiji vinavyolizunguka shamba la Miti SaoHill katika musimu wa mwaka wa 2019/2020 kwa lengo la kuimalisha ujirani mwema ambao umekuwa umedumu kwa miaka mingi.

Zoezi la ugawaji miche ya miti kwa ajili ya ujirani mwema hufanyika kila mwaka kipindi cha masika kwa lengo la kuhakikisha wanapanda miti hiyo na inakuwa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Msitu wa posho

Hatimaye bonge la bangi limepumzishwa! Au tuseme tumepewa nafasi ya kupumzika sisi bila kulazimika kusikia matusi, ubabe, vitisho badala ya hoja na maelewano siku hadi siku.

 

11 years ago

Mwananchi

Shehena ya magogo yanaswa

Makontena sita yaliyobeba magogo yaliyokuwa yakisafirishwa kwenda nje kwa njia za magendo yamekamatwa katika Bandari ya Malindi, Kisiwani Unguja kabla ya kusafirishwa kuelekea nchini China, imefahamika visiwani humu.

 

10 years ago

Mwananchi

Waethiopia 47 wadakwa Msitu wa Mwidu Pwani

Raia 47 wa Ethiopia wamekamatwa katika Msitu wa Mwidu ulioko eneo la Chalinze wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

 

11 years ago

Habarileo

DC: Mliovamia msitu wa Munguli hameni haraka

WATU waliovamia msitu wa asili unaokaliwa na jamii ya Wahadzabe katika Kijiji cha Kipamba-Munguli mkoani Singida, wametakiwa kuhama mara moja kwenye hifadhi hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Wasimamizi Msitu wa Rau wadaiwa kuuhujumu

BAADHI ya wasimamizi wa Msitu wa Hifadhi wa Rau uliopo Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wanadaiwa kushirikiana na watu wenye nia ovu kuvuna msitu huo kiholela hususani nyakati za usiku.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Kampuni ya kusafirisha magogo ilidanganya’

Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kampuni iliyohusika na usafirishaji wa makontena 31 yaliyokamatwa na magogo ya mninga katika Bandari ya Dar es Salaam, ilidanganya hivyo itawajibika kuthibitisha ilikoyatoa.

 

11 years ago

Mwananchi

Magogo ya magendo sasa kurudishwa

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imesema shehena ya magogo yaliyokamatwa yakiingizwa nchini kwa njia ya magendo yakitokea Madagascar yatarejeshwa nchini humo, kwa sababu Zanzibar haina sheria ya misitu ya kuwashtaki au kutaifisha shehena aina hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani