Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC: Mliovamia msitu wa Munguli hameni haraka

WATU waliovamia msitu wa asili unaokaliwa na jamii ya Wahadzabe katika Kijiji cha Kipamba-Munguli mkoani Singida, wametakiwa kuhama mara moja kwenye hifadhi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JK: Wakazi wa mabondeni hameni

Rais Jakaya Kikwete akitoa maagizo kwa uongozi wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la Tegeta, kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wakati alipofanya ziara eneo hilo jana. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amewataka wananchi wanaoishi mabondeni, wakubali kuhama, kwani Serikali itawapatia maeneo yaliyo salama ili kuepukana na adha ya mafuriko kila inapofika msimu wa mvua.

 

10 years ago

Dewji Blog

Milioni 59/- zatumika kujenga nyumba , vyoo Shule ya Munguli

DSC03381 (2)

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile, katika picha.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu

HALMASHAURI ya wilaya ya Mkalama mkoani Singida,imetumia zaidi ya shilingi 59 milioni kugharamia ujenzi wa nyumba ya mtumishi,vyoo na ununuzi wa vitanda na magodoro ya shule ya msingi ya bweni, kijiji cha Munguli ambayo ni maalum kwa jamii ya Wahadzabe tu.

Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo,Bravo Lyapambile,wakati...

 

11 years ago

Mwananchi

Msitu wa posho

Hatimaye bonge la bangi limepumzishwa! Au tuseme tumepewa nafasi ya kupumzika sisi bila kulazimika kusikia matusi, ubabe, vitisho badala ya hoja na maelewano siku hadi siku.

 

11 years ago

Habarileo

Magogo kuvunwa msitu wa Saohill

WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imetoa vibali vya kuvuna mita za ujazo 488,100 za magogo ya miti katika msitu wake wa Taifa wa Saohill, uliopo wilayani Mufindi mkoani Iringa katika kipindi cha mwaka 2014/2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Waethiopia 47 wadakwa Msitu wa Mwidu Pwani

Raia 47 wa Ethiopia wamekamatwa katika Msitu wa Mwidu ulioko eneo la Chalinze wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

 

11 years ago

Habarileo

Wasimamizi Msitu wa Rau wadaiwa kuuhujumu

BAADHI ya wasimamizi wa Msitu wa Hifadhi wa Rau uliopo Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wanadaiwa kushirikiana na watu wenye nia ovu kuvuna msitu huo kiholela hususani nyakati za usiku.

 

11 years ago

Mwananchi

Msitu wa Ruvu Kusini Kibaha hatarini kutoweka

Msitu wa Ruvu Kusini uliopo wilayani Kibaha, Mkoa wa Pwani upo hatarini kutoweka baada ya kuvamiwa na wananchi wanaofanya shughuli zao ndani ya eneo la msitu huo zikiwemo zile za ukataji miti, uchomaji mikaa na ujenzi wa mabwawa ya samaki.

 

9 years ago

Habarileo

Ataka wananchi wasirubuniwe kwamba watapewa msitu

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, ametaka Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA), kutoruhusu wanasiasa kurubuni wananchi kwamba watarejeshewa eneo la msitu wa Nusu Maili usimamiwe na wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanavijiji lawamani kuharibu msitu wa Mkindu Mvomero

Wakazi wa vijiji 20 wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro wamedaiwa kuharibu msitu wa asili wa Mkindu kwa kufanya shughuli za kibinadamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani