Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ataka wananchi wasirubuniwe kwamba watapewa msitu

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, ametaka Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA), kutoruhusu wanasiasa kurubuni wananchi kwamba watarejeshewa eneo la msitu wa Nusu Maili usimamiwe na wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PHIDESIA MBUNGE VITI MAALUM AWATAKA WANANCHI WASIRUBUNIWE

SAM_4394Mbunge viti maalum Wazazi Phidesia Mwakitalima aliyeshinda katika kura za maoni za kutafuta wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kupitia jumuiya ya wazazi wa chama cha Mapinduzi ( CCM ).akizungumza katika mkutano wa chama cha mapinduzi jana mtaa wa kati (CCM MKOA)wakati wagombea 12 wa chama hicho walipofanya ziara ya kutembelea kila kata na kujinadi kwa wananchi pamoja na wanachama wa chama hicho ambapo aliwataka wananchi wasirubuniwe na kama walipewa rushwa na mgombea yeyote...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM ndio chama kinachopendwa zaidi na wananchi Takwimu zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa

22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea – wananchi 6 kati ya 10 walisema kwamba watawachagua wagombea wa CCM kwa Urais (66%), Ubunge (60%) na Udiwani (60%). Takwimu hizi zinatoa picha kwamba CCM inaungwa mkono, kama ilivyokuwa mwaka 2012.
Chadema ni chama cha pili kinachopendwa kushinda vyama vingine vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nape ataka wananchi waelimishwe

KUTOKANA na vurugu zilizosababisha na gesi asilia mkoani Mtwara mwaka jana, Serikali imeshauriwa kuwape elimu wananchi kwanza kabla ya kutekeleza mradi wowote katika eneo husika. Ushauri huo umetolewa juzi na...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Nagu ataka wananchi wawezeshwe kiuchumi

Dk Mary NaguWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu amesema kazi ya kuwawezesha wananchi kiuchumi si ya serikali pekee na kuwataka wadau mbalimbali na taasisi za fedha kutumia sehemu ya faida yake kuwasaidia wananchi kujikwamua kiuchumi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makala ataka wananchi wachangie maji 

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makala, amewataka wakazi wa Wilaya ya Kisarawe kushiriki kuchangia michango katika miradi ya maji kufanikisha utekelezaji wake. Makala alitoa wito huo wakati wa ziara yake...

 

11 years ago

Habarileo

Ataka wataalamu wa kilimo kusaidia wananchi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni SefueKATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amewataka wataalamu wa kilimo katika halmashauri kuwa karibu na wananchi ili kuwasaidia kuboresha kilimo na mifugo yao.

 

11 years ago

Habarileo

DC ataka wananchi kujenga nyumba imara

MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Muhingo Rweyemamu, amewataka wananchi wilayani humo, kujenga nyumba imara na kupanda miti ya vivuli na matunda, ili kustawisha mazingira na kuzuia upepo kuvuma kwa kasi na kuleta madhara.

 

10 years ago

Habarileo

Ataka Serikali kuhakikisha uhuru wa habari kusaidia wananchi

Mwanahabari Nguli nchini, Jenerali Ulimwengu.MWANDISHI mkongwe Jenerali Ulimwengu alinyakua tuzo ya Utumishi Uliotukuka katika Tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kutokana na mchango wake katika tasnia ya habari na kukemea maovu bila woga kwa kutumia kalamu yake.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ASEMA WATAKAOKAMATWA KWA UZURURAJI WATAPEWA ADHABU ZA KUSAFISHA MITARO NA MAZINGIRA NA SIO KULA UGALI WA BURE MAHABUSU.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amesema zoezi la kuwakamata wazururaji katika mkoa huo limeanza rasmi leo ambapo wazururaji watakaokamatwa watapewa adhabu mbalimbali ikiwemo Kusafisha mitaro, Kusafisha barabara, kufyeka nyasi na kulima bustani.

RC Makonda amesema kama kuna watu walidhani watapelekwa mahabusu na kula Chakula cha bure wasahau kabisa jambo hilo.

Mhe. Makonda ametoa kauli hiyo wakati wa Uzinduzi wa Shoppers Supermarket ya Mlimani City ambapo ameonyesha kufurahishwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani