CCM ndio chama kinachopendwa zaidi na wananchi Takwimu zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa
22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea – wananchi 6 kati ya 10 walisema kwamba watawachagua wagombea wa CCM kwa Urais (66%), Ubunge (60%) na Udiwani (60%). Takwimu hizi zinatoa picha kwamba CCM inaungwa mkono, kama ilivyokuwa mwaka 2012.
Chadema ni chama cha pili kinachopendwa kushinda vyama vingine vya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MMlfmBux8cg/VgEdMX5nXmI/AAAAAAAH6x4/Hi6kSzmJtDA/s72-c/index.jpg)
CCM NDIO CHAMA KINACHOPENDWA ZAIDI NA WANANCHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-MMlfmBux8cg/VgEdMX5nXmI/AAAAAAAH6x4/Hi6kSzmJtDA/s1600/index.jpg)
22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea – wananchi 6 kati ya 10 walisema kwamba watawachagua wagombea wa CCM kwa Urais (66%), Ubunge (60%) na Udiwani (60%). Takwimu hizi zinatoa picha kwamba CCM inaungwa mkono, kama ilivyokuwa mwaka...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/BVRMatatizo.jpg?width=650)
10 years ago
Vijimambo16 Jul
CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASISITIZA KUWA KATIKA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI ( UKAWA )
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/146.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/244.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar17 Sep
Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015.
Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa October 2015, Mh. Seif Sharif Hamad aliombea wagombea zake kura za ndio wakiwemo wabunge, madiwani na wawakilishi wa Jibo la Ole, Pia Muheshimiwa alimuombea kura ndugu Edward Lowasa. Katika Sera […]
The post Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Vijimambo16 May
'Bwege' adai wananchi ndio wameochoka kuibeba Serikali ya CCM
Alisema wapo wabunge wanaoitetea serikali, kwa kuibeba, lakini wapo wabunge wanaofanya kazi zao za kuikosoa.
Akichangia hotuba ya mwelekeo wa kazi za serikali, makadirio ya matumizi ya fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa mwaka 2015/16 iliyowasilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda,...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Oct
HIZI NDIO MBINU ZA CCM ZA KUIBIA WANANCHI KURA ZAO
Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania wa kutoka Zanzibar na Tanganyika. Ama sina budi ila kumshukuru Allah Salawatu Wasalamu, kwakunipatia uzima, pumzi na wasia wakuweza kuandika Makala hii kwenu nyinyi WAZALENDO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kama tulivosikia katika […]
The post HIZI NDIO MBINU ZA CCM ZA KUIBIA WANANCHI KURA ZAO appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo19 Nov
Ataka wananchi wasirubuniwe kwamba watapewa msitu
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, ametaka Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA), kutoruhusu wanasiasa kurubuni wananchi kwamba watarejeshewa eneo la msitu wa Nusu Maili usimamiwe na wananchi.
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Ukawa watumia kauli za Kinana kuichongea CCM kwa wananchi
Na Elias Msuya, Tanga
ZIARA ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, imeingia mkoani Tanga huku viongozi walio kwenye msafara wake wakiwakaanga wagombea ubunge wa CCM kwa kauli ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana aliyesema chama chake kimejaa wezi, wanafiki na majambazi.
Kinana alitamka maneno hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Moshi mkoani Kilimanjaro...