Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TWAWEZA: CCM NDICHO CHAMA KINACHOPENDWA ZAIDI NA WANANCHI



GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

CCM NDIO CHAMA KINACHOPENDWA ZAIDI NA WANANCHI

TAKWIMU zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa
22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine.  Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea – wananchi 6 kati ya 10 walisema kwamba watawachagua wagombea wa CCM kwa Urais (66%), Ubunge (60%) na Udiwani (60%). Takwimu hizi zinatoa picha kwamba CCM inaungwa mkono, kama ilivyokuwa mwaka...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM ndio chama kinachopendwa zaidi na wananchi Takwimu zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa

22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea – wananchi 6 kati ya 10 walisema kwamba watawachagua wagombea wa CCM kwa Urais (66%), Ubunge (60%) na Udiwani (60%). Takwimu hizi zinatoa picha kwamba CCM inaungwa mkono, kama ilivyokuwa mwaka 2012.
Chadema ni chama cha pili kinachopendwa kushinda vyama vingine vya...

 

9 years ago

Michuzi

CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKUBALI MATOKEO YA UTAFITI WA TWAWEZA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa chama cha ACT Wazalendo, Nixon Tugara akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya matokeo ya  utafiti wa Twaweza na nafasi ya Mgombea wa Urais wa chama cha (ACT)Wazalendo licha ya kuonesha hali hiyo sisi (ACT) wazalendo tunafarijika na matokeo ameyasema hayo katika mkutano huo uli0fanyika katika ukumbi wa makao makuu ya chama  hicho jijini Dar es Salaam  leo kulia ni Mjumbe wa kamati ya uchaguzi, Emmanuel Mvule.Baadhi ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015.

Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa October 2015, Mh. Seif Sharif Hamad aliombea wagombea zake kura za ndio wakiwemo wabunge, madiwani na wawakilishi wa Jibo la Ole, Pia Muheshimiwa alimuombea kura ndugu Edward Lowasa. Katika Sera […]

The post Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Twaweza: Wananchi hawajui chochote kuhusu Ukaguzi Hesabu za Serikali

Wananchi wengi hawana uelewa wa kutosha juu ya taasisi za Serikali za ukaguzi wa hesabu na jinsi zinavyofanya kazi ya kusimamia fedha za Umma, utafiti uliofanywa na Twaweza umebainisha.

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASISITIZA KUWA KATIKA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI ( UKAWA )

1Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara, Magdalena Sakaya, akizungumza na waandishishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu masuala ya kuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Habari wa CUF Taifa, Abdul Kambaya.2Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani