TWAWEZA: Mijadala ya wananchi kwa ngazi za mikoa
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Castle Lager Perfect Six ngazi ya mikoa yaanza
MASHINDANO ya Castle Lager Perfect Six ngazi ya mikoa, yameanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki, ambako timu 48 zimeshuka dimbani katika mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro zikiwania nafasi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-o6MEnD5NZhI/U_DW8trzcSI/AAAAAAAGATg/hfLzSZDPaIU/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Serikali yawapiga msasa viongozi wa elimu ngazi ya Mikoa
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Serikali itaendelea kutoa mafunzo kwa watendaji wa Halmashauri na Mikoa juu ya usimamizi wa fedha, manunuzi na takwimu katika masuala ya elimu nchini ili kuwajengea uwezo viongozi hao katika masuala ya usimamizi wa fedha za Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari awamu ya pili (MMES II). Kauli hiyo imetolewa mjini Bagamoyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia wakati akifunga mafunzo ya viongozi wa...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Castle Lager Perfect Six ngazi ya mikoa kuanza wikendi
MASHINDANO ya Soka ya Castle Lager Perfect 6 ngazi ya mikoa, yanatarajiwa kuanza rasmi wikendi hii katika mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro. Mashindano hayo yatamalizika kwa kupata washindi...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-s6iKVKOx-hI/U9Ad0sn9W7I/AAAAAAAF5So/ANKRC4J--po/s72-c/unnamed+(24).jpg)
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA MIKOA MIWILI YA PEMBA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu Nchini kuendelea kushikamana kwa lengo la kutekeleza maamrisho ya dini yao kama inavyoagiza wakati wote. Balozi Seif alitoa himizo hilo kwa niaba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya futari ya Pamoja iliyoandaliwa na Rais Kikwete kwa ajili ya Wananchi wa Mikoa miwili ya Pemba hapo katika Majengo ya Ikulu ya Mjini Wete, Pemba Balozi Seif alisema...
9 years ago
MichuziKAMATI ZA MAAFA NGAZI ZA MIKOA, WILAYA NA VIJIJI ZASHAURIWA KUOMBA MBEGU BADALA YA CHAKULA CHA MSAADA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/BVRMatatizo.jpg?width=650)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aKMc_c4zvVU/XvXmY1n6a4I/AAAAAAALviM/w_sQcjQijx42DP4M7qi1ne95z7e-ck6DQCLcBGAsYHQ/s72-c/1-51.jpg)
WAZIRI LUKUVI AAGIZA WASAJILI WASAIDIZI WA HATI OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-aKMc_c4zvVU/XvXmY1n6a4I/AAAAAAALviM/w_sQcjQijx42DP4M7qi1ne95z7e-ck6DQCLcBGAsYHQ/s640/1-51.jpg)
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe kuzindua rasmi ofisi ya ardhi ya mkoa wa Singida jana. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Singida ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Mary Makondo na wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Alhaji Juma Kilimba.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/2-36.jpg)
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza wakati wa uzinduzi ofisi ya ardhi mkoa wa Singida jana....
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Twaweza: Wananchi hawajui chochote kuhusu Ukaguzi Hesabu za Serikali
Wananchi wengi hawana uelewa wa kutosha juu ya taasisi za Serikali za ukaguzi wa hesabu na jinsi zinavyofanya kazi ya kusimamia fedha za Umma, utafiti uliofanywa na Twaweza umebainisha.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9Dpcenwt5Ug/VXE-eTVTs_I/AAAAAAAAUgU/QpvHtQqxbuE/s72-c/hamjamboo1.jpg)
DKT. SLAA, AENDELEA NA ZIARA YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, APIGA DEBE WANANCHI KUJIANDIKISHA TAYARI KWA UCHAGUZI MKUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-9Dpcenwt5Ug/VXE-eTVTs_I/AAAAAAAAUgU/QpvHtQqxbuE/s640/hamjamboo1.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania