'Bwege' adai wananchi ndio wameochoka kuibeba Serikali ya CCM
Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Said Bungara ‘Bwege’ Pichani (CUF), ametofautiana na wabunge wenzake wa upinzani wanaosema Serikali ya CCM imechoka, badala yake amesema Watanzania ndio waliochoka kuibeba.
Alisema wapo wabunge wanaoitetea serikali, kwa kuibeba, lakini wapo wabunge wanaofanya kazi zao za kuikosoa.
Akichangia hotuba ya mwelekeo wa kazi za serikali, makadirio ya matumizi ya fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa mwaka 2015/16 iliyowasilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda,...
Vijimambo