DC ataka wananchi kujenga nyumba imara
MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Muhingo Rweyemamu, amewataka wananchi wilayani humo, kujenga nyumba imara na kupanda miti ya vivuli na matunda, ili kustawisha mazingira na kuzuia upepo kuvuma kwa kasi na kuleta madhara.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Wafugaji watakiwa kujenga umoja imara
MKUU wa Mkoa wa Pwani, Hajat Mwantumu Mahiza, amewataka wafugaji kuepuka ukabila miongoni mwao na kujenga umoja imara utakaowawezesha kutetea na kusimamia haki zao. Hajat Mwantumu alisema hayo wakati wa...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
UKAWA: Tumeungana kujenga serikali imara
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umefafanua hoja ya kuanzisha ushirikiano katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kujenga serikali imara yenye kuheshimu matakwa ya wananchi. UKAWA inaundwa na vyama...
5 years ago
MichuziSERIKALI IKO IMARA KUWAHUDUMIA WANANCHI-MAJALIWA
Ili kutimiza adhima hiyo, Waziri Mkuu amepiga marufuku kitendo cha watumishi wa umma kumaliza wiki wakiwa maofisini na badala yake amewataka watumie siku nne kwenda kwa wananchi katika maeneo yao.
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni (Jumatatu, Machi 2, 2020) wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
10 years ago
Habarileo10 Jun
Wahamasishwa kujenga nyumba za madaktari
WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Wabunge kusaidia ujenzi wa nyumba za madaktari ili waweze kutoa huduma za afya vijijini kwa muda wote.
11 years ago
Habarileo31 May
Mbunge ataka fedha za kujenga majengo ya polisi
MBUNGE wa Viti Maalum, Rita Kabati (CCM) ameishauri serikali kutumia fedha walizookoa baada ya kuacha kununua magari ya kifahari, kuzielekeza kununua magari na kujenga majengo kwa ajili ya Jeshi la Polisi.
10 years ago
Dewji Blog18 Jan
Ataka taarifa za matumizi zisomwe kujenga imani
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Bravo Lyapembile, katika picha.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Mkalama
MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya Mkalama mkoani singida, Bravo Lyapambile, amewaagiza maafisa watendaji Kata kutoa/kusoma taarifa za michango mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa maabara kwa wakati,ili wananchi waendelee kuamini halmashauri yao.
Amesema kwa njia hiyo wananchi watajenga imani na Halmashauri yao kwamba michango yao...
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Kampuni yajitokeza kujenga nyumba Dar
11 years ago
Habarileo30 Mar
Mil.500/- kujenga nyumba za walimu
SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.
9 years ago
Habarileo05 Dec
Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu
SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.