Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahamasishwa kujenga nyumba za madaktari

WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Wabunge kusaidia ujenzi wa nyumba za madaktari ili waweze kutoa huduma za afya vijijini kwa muda wote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NHC Arusha kujenga nyumba 4,500

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Arusha, litajenga nyumba za kisasa 4,500.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kujenga nyumba 403 Mwakata

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali itajenga nyumba 403 ambazo zimebomolewa na mvua kubwa iliyonyesha wiki iliyopita katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama na kusababisha watu 649 kukosa mahali pa kuishi.

 

11 years ago

Habarileo

Mil.500/- kujenga nyumba za walimu

SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu

SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.

 

11 years ago

Habarileo

DC ataka wananchi kujenga nyumba imara

MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Muhingo Rweyemamu, amewataka wananchi wilayani humo, kujenga nyumba imara na kupanda miti ya vivuli na matunda, ili kustawisha mazingira na kuzuia upepo kuvuma kwa kasi na kuleta madhara.

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni yajitokeza kujenga nyumba Dar

Kampuni ya Dongxing imeanzisha mradi wa ujenzi wa nyumba 98 utakaogharimu zaidi ya Dola 15 milioni kwa lengo la kuboresha maisha ya Watanzania.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK. MAGUFULI AIPONGEZA MKAPA FOUNDATION KWA UJENZI WA NYUMBA ZA MADAKTARI NCHINI

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mkapa Foundation Ellen Mkondya Senkoro akimuelekeza jambo Mwakilishi wa WHO nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela katikati wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Madaktari Tanzania yaliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Afisa Mtendaji Mkuu wa Mkapa Foundation Ellen Mkondya Senkoro akiwa na Mwakilishi wa WHO nchini Tanzania Dr. Tigest Ketsela kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam walipotembelea...

 

10 years ago

Mwananchi

Bilioni 103 za benki ya dunia kujenga nyumba

Benki ya Dunia (WB) imetoa Dola 60 milioni (Sh 103 bilioni) za Marekani kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa wananchi.

 

10 years ago

Habarileo

JK aahidi kuisukuma NHC kujenga nyumba Chemba lakini…

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Halmashauri ya Chemba kutoa ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili liweze kujenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa halmashauri hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani