Serikali kujenga nyumba 403 Mwakata
Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali itajenga nyumba 403 ambazo zimebomolewa na mvua kubwa iliyonyesha wiki iliyopita katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama na kusababisha watu 649 kukosa mahali pa kuishi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Apr
JKT yasubiri agizo la Rais kujenga Mwakata
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limesema linasubiri maelekezo ya maandishi ili kuanza kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete la kuwajengea nyumba 403 mpya waathirika waliobomolewa nyumba zao na mvua kubwa ya mawe na upepo mkali, iliyonyesha katika vijiji vitatu wilayani Kahama.
9 years ago
Habarileo05 Dec
Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu
SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OW2MOxjTk2I/VePLe-FUY4I/AAAAAAAH1Hs/zYMpXyZGFz4/s72-c/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
OFISI YA WAZIRI MKUU YAKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA YA MVUA YA MAWE NA UPEPO MWAKATA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OW2MOxjTk2I/VePLe-FUY4I/AAAAAAAH1Hs/zYMpXyZGFz4/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mKwlVYTw7wo/VePLfkwA8QI/AAAAAAAH1Hw/IjJTUgalN9k/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...
10 years ago
Habarileo10 Jun
Wahamasishwa kujenga nyumba za madaktari
WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Wabunge kusaidia ujenzi wa nyumba za madaktari ili waweze kutoa huduma za afya vijijini kwa muda wote.
11 years ago
Habarileo20 Feb
DC ataka wananchi kujenga nyumba imara
MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Muhingo Rweyemamu, amewataka wananchi wilayani humo, kujenga nyumba imara na kupanda miti ya vivuli na matunda, ili kustawisha mazingira na kuzuia upepo kuvuma kwa kasi na kuleta madhara.
10 years ago
Mwananchi12 Jan
NHC Arusha kujenga nyumba 4,500
11 years ago
Habarileo30 Mar
Mil.500/- kujenga nyumba za walimu
SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Kampuni yajitokeza kujenga nyumba Dar