Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni yajitokeza kujenga nyumba Dar

Kampuni ya Dongxing imeanzisha mradi wa ujenzi wa nyumba 98 utakaogharimu zaidi ya Dola 15 milioni kwa lengo la kuboresha maisha ya Watanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ILIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA JIJINI DAR

 Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha Somangira Kigamboni Dar es Salaam, Mradi huo una ekari 583.  Wateja wakiwa wanatoka ndani ya nyumba hizo

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

Uongozi wa kampuni ya Nyumba ya NAKHEEL, ambayo ndio kampuni kubwa ya Serikali Dubai watembelea NHC, wafanya Mazungumzo

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga (kulia) akiongozana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Nakheel ambayo ndio kampuni kubwa ya Serikali Dubai ambayo ni wawekezaji wakubwa duniani katika sekta ya uendelezaji miliki, Rashid Ahmed Lootah, kuingia kwenye chumba cha mikutano cha Ofisi za 
Mkurugenzi Mkuu wa NHC jiji Dar es Salaam jana, nyuma yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Ujenzi wa Miradi wa Kampuni hiyo, Masood Al Zarooni na Injinia Fawzi Al Shah ambaye ni Mkurugenzi wa Udhibiti na Mipango...

 

10 years ago

Habarileo

Wahamasishwa kujenga nyumba za madaktari

WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Wabunge kusaidia ujenzi wa nyumba za madaktari ili waweze kutoa huduma za afya vijijini kwa muda wote.

 

11 years ago

Habarileo

DC ataka wananchi kujenga nyumba imara

MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Muhingo Rweyemamu, amewataka wananchi wilayani humo, kujenga nyumba imara na kupanda miti ya vivuli na matunda, ili kustawisha mazingira na kuzuia upepo kuvuma kwa kasi na kuleta madhara.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu

SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.

 

10 years ago

Mwananchi

NHC Arusha kujenga nyumba 4,500

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Arusha, litajenga nyumba za kisasa 4,500.

 

11 years ago

Habarileo

Mil.500/- kujenga nyumba za walimu

SERIKALI imetenga Sh milioni 500 kwa halmashauri 41 nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba bora za walimu. Rais Jakaya Kikwete aliwaambia wananchi wa Tanga, juzi wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kujenga nyumba 403 Mwakata

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali itajenga nyumba 403 ambazo zimebomolewa na mvua kubwa iliyonyesha wiki iliyopita katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama na kusababisha watu 649 kukosa mahali pa kuishi.

 

10 years ago

Mwananchi

Bilioni 103 za benki ya dunia kujenga nyumba

Benki ya Dunia (WB) imetoa Dola 60 milioni (Sh 103 bilioni) za Marekani kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani