Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA: Tumeungana kujenga serikali imara

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umefafanua hoja ya kuanzisha ushirikiano katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kujenga serikali imara yenye kuheshimu matakwa ya wananchi. UKAWA inaundwa na vyama...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji watakiwa kujenga umoja imara

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Hajat Mwantumu Mahiza, amewataka wafugaji kuepuka ukabila miongoni mwao na kujenga umoja imara utakaowawezesha kutetea na kusimamia haki zao. Hajat Mwantumu alisema hayo wakati wa...

 

11 years ago

Habarileo

DC ataka wananchi kujenga nyumba imara

MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Muhingo Rweyemamu, amewataka wananchi wilayani humo, kujenga nyumba imara na kupanda miti ya vivuli na matunda, ili kustawisha mazingira na kuzuia upepo kuvuma kwa kasi na kuleta madhara.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI IKO IMARA KUWAHUDUMIA WANANCHI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano iko imara na inamipango madhubuti ya kuwahudumia na kuwatumikia Watanzania katika maeneo yote nchini.
Ili kutimiza adhima hiyo, Waziri Mkuu amepiga marufuku kitendo cha watumishi wa umma kumaliza wiki wakiwa maofisini na badala yake amewataka watumie siku nne kwenda kwa wananchi katika maeneo yao.
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni  (Jumatatu, Machi 2, 2020) wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi

Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya  nchi ili kuwawezesha  wananchi kuimarika  kiuchumi.

Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo  linarudisha    nyuma maendeleo ya watanzania.

 Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...

 

5 years ago

Michuzi

MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI NA KUITAKA IHAKIKISHE ATCL INAKUWA IMARA KIUSHINDANI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakala ya Ndege za Serikali (hawapo pichani) mara baada ya kuzindua Bodi hiyo mapema leo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Mhandisi John W. H. Kijazi ambaye pia ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kujenga karakana NIT

SERIKALI inatarajia kujenga karakana  nne  katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) zitakazogharimu dola 300,000 ambazo zitakamilika mwakani. Akizungumza   jijini Dar es Salaam jana baada ya Kamati ya Miundombinu kutembelea...

 

11 years ago

Habarileo

‘Isaidieni Serikali kujenga uchumi wa kijani’

WATAALAM wa mazingira wametakiwa kuisaidia Serikali kutengeneza Sera nzuri zitakazosaidia kujenga uchumi wa kijani. Hayo yalisemwa jana na Mhadhiri wa Idara ya Jiografia na mazingira wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Thabit Jacob, wakati wa mkutano wa Wanamazingira na watafiti wa Uchumi wa Kijani unaofanyika chuoni hapo.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu

SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani