SERIKALI IKO IMARA KUWAHUDUMIA WANANCHI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano iko imara na inamipango madhubuti ya kuwahudumia na kuwatumikia Watanzania katika maeneo yote nchini.
Ili kutimiza adhima hiyo, Waziri Mkuu amepiga marufuku kitendo cha watumishi wa umma kumaliza wiki wakiwa maofisini na badala yake amewataka watumie siku nne kwenda kwa wananchi katika maeneo yao.
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni (Jumatatu, Machi 2, 2020) wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Uu7t-Du3Nhk/XoBRdbwvdaI/AAAAAAAC1-8/x6-_V_UC0pgvIknfORlFA2jhGPALdZYggCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Uu7t-Du3Nhk/XoBRdbwvdaI/AAAAAAAC1-8/x6-_V_UC0pgvIknfORlFA2jhGPALdZYggCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rSsEH6C4fDw/XoBRT3aaDtI/AAAAAAALlcM/9-eqc3r5xlUkBU3EmdrkMUrfZ7iBaH5xACLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_7608AAA-768x512.jpg)
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rSsEH6C4fDw/XoBRT3aaDtI/AAAAAAALlcM/9-eqc3r5xlUkBU3EmdrkMUrfZ7iBaH5xACLcBGAsYHQ/s640/PMO_7608AAA-768x512.jpg)
Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma kwa wagonjwa wa Coroma, Machi 28, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo na wa pili kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PMO_7625AAA-1024x682.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PMO_7628AAAA-1024x697.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cARgfkA64bY/Xm-PhqHteCI/AAAAAAAC8og/9W8NT55xvNUQV9CLoZI1Rs5uQGe8Ddo9ACLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Serikali itaendelea kusimamia miradi ya kimakatakati ili kuwahudumia Watanzania
Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Dodoma
Serikali itaendelea kutekeleza majukumu yake ya kusimamia miradi mikubwa ya kitaifa ya kimkakati ili taifa liendelee kusonga mbele katika sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika leo jijini Dodoma.
Miradi ambayo wizara itaendelea kuisimamia ni pamoja na kuendeleza na kutekeleza shughuli za...
11 years ago
Habarileo20 Feb
DC ataka wananchi kujenga nyumba imara
MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Muhingo Rweyemamu, amewataka wananchi wilayani humo, kujenga nyumba imara na kupanda miti ya vivuli na matunda, ili kustawisha mazingira na kuzuia upepo kuvuma kwa kasi na kuleta madhara.
11 years ago
Tanzania Daima04 May
UKAWA: Tumeungana kujenga serikali imara
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umefafanua hoja ya kuanzisha ushirikiano katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kujenga serikali imara yenye kuheshimu matakwa ya wananchi. UKAWA inaundwa na vyama...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QusxwpphOX4/VYFJZ5VTjdI/AAAAAAAHgZU/d-mClUHTM6w/s72-c/index.jpg)
WIZARA YA HABARI YAKAMILISHA UBORESHAJI TOVUTI YA WANANCHI, SASA IKO HEWANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-QusxwpphOX4/VYFJZ5VTjdI/AAAAAAAHgZU/d-mClUHTM6w/s1600/index.jpg)
“Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari- MAELEZO, imekamilisha...
9 years ago
StarTV17 Nov
Serikali yashauriwa kuweka mikakati imara ya kuimarisha uchumi
Chama cha Tathmini Tanzania kimeishauri Serikali kuweka mikakati imara ya kufanya tathmini na kutumia takwimu katika utungaji wa sera na mipango mbalimbali ya nchi ili kuwawezesha wananchi kuimarika kiuchumi.
Imesemekana kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo hazijaweka kipaumbele umuhimu wa kufanya tathmini katika miradi na matumizi ya takwimu kwenye uamuzi ,jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo ya watanzania.
Wakati Tanzania ikiajiandaa kuadhimisha siku ya Tathmini Duniani...
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s72-c/1.jpg)
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vd0xHojhppo/VmG0lexvtUI/AAAAAAAA1b0/iW1seV--6-0/s640/2.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Mayai ya kwale kama kikombe cha Babu, Serikali iko kimya