Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kujenga karakana NIT

SERIKALI inatarajia kujenga karakana  nne  katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) zitakazogharimu dola 300,000 ambazo zitakamilika mwakani. Akizungumza   jijini Dar es Salaam jana baada ya Kamati ya Miundombinu kutembelea...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NIT kujenga vituo vya ukaguzi nchi nzima

DSCN9415

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene  akiwa kwenye mtambo maalum ‘Driving Simulator’ wa kufundishia madereva wa chuo cha Usafirishaji NIT (aliyekaa ), kushoto kwake anayetoa maelezo ni Mtahini wa madereva wa NIT, William Venge, anayefuatia, ni Mwenyekiti wa chuo hicho, Mhandisi, Priscila Chipweli, hiyo ilikuwa wakati Naibu huyo alipotembelea katika sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa chuo hicho. (Picha na Mpiga Picha wetu).

Na Mwandishi wetu

SERIKALI  ipo mbioni kuanzisha...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu

SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.

 

11 years ago

Habarileo

‘Isaidieni Serikali kujenga uchumi wa kijani’

WATAALAM wa mazingira wametakiwa kuisaidia Serikali kutengeneza Sera nzuri zitakazosaidia kujenga uchumi wa kijani. Hayo yalisemwa jana na Mhadhiri wa Idara ya Jiografia na mazingira wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Thabit Jacob, wakati wa mkutano wa Wanamazingira na watafiti wa Uchumi wa Kijani unaofanyika chuoni hapo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA: Tumeungana kujenga serikali imara

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umefafanua hoja ya kuanzisha ushirikiano katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kujenga serikali imara yenye kuheshimu matakwa ya wananchi. UKAWA inaundwa na vyama...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kujenga nyumba 403 Mwakata

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali itajenga nyumba 403 ambazo zimebomolewa na mvua kubwa iliyonyesha wiki iliyopita katika kijiji cha Mwakata wilayani Kahama na kusababisha watu 649 kukosa mahali pa kuishi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yasaka wafadhili kujenga kiwanda Mkinga

SERIKALI inaandaa mpango wa kuomba wafadhili wa ndani na nje ya nchi utakaowawezesha kujengea kiwanda cha kubangulia korosho kwa wakulima wa zao hilo walayani Mkinga, Tanga. Ujenzi wa kiwanda hicho...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Serikali kujenga barabara nne za juu Dar

Dar es Salaam. Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara nne za juu ‘flyover’ katika jiji la Dar es Salaam ndani ya miaka mitatu na daraja la Kigamboni Juni mwakani, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema. Pia amesema Serikali imetenga Sh2 bilioni kununua kivuko cha mwendo kasi kitakachokuwa kikitoa huduma kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo na kukamilika kwa ujenzi wa barabara za pembezoni katika jiji hili. Waziri Magufuli alisema hayo jana katika ziara ya kukagua ujenzi wa barabara za...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yazuia Iringa kujenga stendi Igumbilo

SERIKALI imefanya uamuzi mgumu kwa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuzuia mpango wake wa kujenga stendi mpya ya mabasi ya mikoani katika eneo linalolalamikiwa na wadau wa mazingira la Igumbilo, mjini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani