Serikali yasaka wafadhili kujenga kiwanda Mkinga
SERIKALI inaandaa mpango wa kuomba wafadhili wa ndani na nje ya nchi utakaowawezesha kujengea kiwanda cha kubangulia korosho kwa wakulima wa zao hilo walayani Mkinga, Tanga. Ujenzi wa kiwanda hicho...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Serikali yasaka fedha kujenga minara ya simu
SERIKALI imesema imeamua kutafuta fedha na kujenga minara yenyewe badala ya kuzitegemea kampuni za simu. Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, alisema wizara...
10 years ago
MichuziSERIKALI KUSHIRIKIANA NA KIWANDA CHA DANGOTE KUANZA KUJENGA GATI LA KUPAKIA CEMENT
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Wakorea kujenga kiwanda Dar
KAMPUNI kubwa ya kuoka mikate na bidhaa nyingine za ngano nchini Korea Kusini, Rapang, ina mpango wa kujenga kiwanda kikubwa cha mikate jijijni Dar es Salaam na vituo vya mauzo sehemu mbalimbali nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari kutoka Tanzania mjini Daegu mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Rapang, Byoung-Hee Choi, alisema Tanzania itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa na kiwanda cha namna hiyo.
“Mipango hii itatekelezwa ndani ya muda mfupi ujao na baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
NDC kujenga kiwanda Ziwa Natron
SHIRIKA la Maendeleo la Taifa (NDC) limeanza mchakato wa kupata wazabuni kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya uzalishaji magadi soda kwenye Ziwa Natron na Bonde la Engaruka. Viwanda hivyo...
9 years ago
Habarileo14 Sep
Aahidi kujenga kiwanda cha korosho
MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema iwapo mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli atapata ridhaa ya kuunda serikali ya awamu ya tano, atajenga kiwanda cha kisasa cha kubangua na kufungasha korosho katika wilaya ya Mkuranga.
9 years ago
Habarileo07 Oct
Magufuli amshawishi Mo kujenga kiwanda Singida
MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli amemshawishi aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mohammed Dewji, kujenga kiwanda mkoani humo, ili pamoja na mambo mengine, kupunguza uhaba wa ajira.
10 years ago
Habarileo01 Jul
Serikali yasaka wahujumu mafuta
SERIKALI imeanza msako wa mtu au watu waliohusika na hujuma ya mafuta, kwa kutouzia wateja wa reja reja, pamoja na wanaosambaza ujumbe mfupi wa maandishi, kutisha kuwa mafuta hayatapatikana hadi leo.
9 years ago
StarTV09 Sep
CCM ya ahidi kujenga kiwanda cha kusindika kahawa na mahindi.
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi kujengwa kiwanda cha kusindika kahawa na mahindi kwa wakulima wa mazao hayo akiwataka kufanya maamuzi ya kumchagua mgombea Urais kupitia chama hicho Dokta John Magufuli ili aweze kukamilisha mpango huo.
Mgombea Mwenza huyo ambaye amemaliza ziara mkoani Ruvuma na kuelekea Pwani amesema hakuna sababu ya wakulima wa mazao hayo kuhangaikia soko wakati kuna uwezekano wa kuyafanya mazao hayo kuwa na thamani...
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Serikali yasaka fedha ujenzi barabara ya Njombe-Ludewa
SERIKALI imesema inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Ludewa Mjini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, wakati akijibu...