Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakorea kujenga kiwanda Dar

KAMPUNI kubwa ya kuoka mikate na bidhaa nyingine za ngano nchini Korea Kusini, Rapang, ina mpango wa kujenga kiwanda kikubwa cha mikate jijijni Dar es Salaam na vituo vya mauzo sehemu mbalimbali nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari kutoka Tanzania mjini Daegu mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Rapang, Byoung-Hee Choi, alisema Tanzania itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa na kiwanda cha namna hiyo.

“Mipango hii itatekelezwa ndani ya muda mfupi ujao na baada ya...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NHIF YAWAPIGA MSASA WAKOREA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi wa Mfuko wa bima ya Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti, akizungumza na Wadau wa Maendeleo ya Mfuko wa  Kimataifa wa Afya wa Korea kuhusiana na utekelezaji wa  mifumo ya habari na mawasiliano ya uzalishaji na ufuatiliaji wa madai ya watoa huduma za afya kwa wanachama katika mkutano  uliofanyika leo ndani ya Hoteli ya Blue Pearl  Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mifumo ya Habari wa (NHIF)   Ali Othman akitoa mada katika Mfuko wa  Kimataifa wa Afya wa Korea kuhusu utekelezaji wa...

 

9 years ago

Habarileo

Aahidi kujenga kiwanda cha korosho

MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema iwapo mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli atapata ridhaa ya kuunda serikali ya awamu ya tano, atajenga kiwanda cha kisasa cha kubangua na kufungasha korosho katika wilaya ya Mkuranga.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli amshawishi Mo kujenga kiwanda Singida

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli amemshawishi aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mohammed Dewji, kujenga kiwanda mkoani humo, ili pamoja na mambo mengine, kupunguza uhaba wa ajira.

 

11 years ago

Tanzania Daima

NDC kujenga kiwanda Ziwa Natron

SHIRIKA la Maendeleo la Taifa (NDC) limeanza mchakato wa kupata wazabuni kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya uzalishaji magadi soda kwenye Ziwa Natron na Bonde la Engaruka. Viwanda hivyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yasaka wafadhili kujenga kiwanda Mkinga

SERIKALI inaandaa mpango wa kuomba wafadhili wa ndani na nje ya nchi utakaowawezesha kujengea kiwanda cha kubangulia korosho kwa wakulima wa zao hilo walayani Mkinga, Tanga. Ujenzi wa kiwanda hicho...

 

9 years ago

StarTV

CCM ya ahidi kujenga kiwanda cha kusindika kahawa na mahindi.

Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi kujengwa kiwanda cha kusindika kahawa na mahindi kwa wakulima wa mazao hayo akiwataka kufanya maamuzi ya kumchagua mgombea Urais kupitia chama hicho Dokta John Magufuli ili aweze kukamilisha mpango huo.

Mgombea Mwenza huyo ambaye amemaliza ziara mkoani Ruvuma na kuelekea Pwani amesema hakuna sababu ya wakulima wa mazao hayo kuhangaikia soko wakati kuna uwezekano wa kuyafanya mazao hayo kuwa na thamani...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANZA WAIKUBALI WINDHOEK WAFURAHIA MPANGO WA MABIBO BIA KUJENGA KIWANDA

Wadau wa Windhoek ndani ya Villa Park Resort katika promosheni hiyo.Hapa shughuli imepamba moto waalikwa wakimsikiliza Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr.James Rugemalira.
Dotto Mwaibale

WAKAZI wa jiji la Mwanza na mikoa jirani ya Kanda ya Ziwa, wamefurahishwa na uwekezaji unaotarajiwa kufanywa na Kampuni ya Bia ya Mabibo (MBL) kwa ajili ya kujenga kiwanda cha bia za Windhoek.

Wakizungumza katika promosheni iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Mwanza juzi katika ukumbi wa Villa Park...

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli amshawishi MO kujenga kiwanda Singida ili kutoa fursa ya ajira

IMG_4556

Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akimwaga sifa kwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Singida Mjini (Mbunge Mstaafu), Mohamed Dewji baada ya kutumikia vyema na kwa uadilifu kiti chake cha Ubunge jimboni humo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea urais huyo kwa tiketi ya CCM uliofanyika katika viwanja wa Peoples mjini humo.

Na Nathaniel Limu, Singida

MGOMBEA urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli,amemshawishi aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida mjini Mohammed...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA KIWANDA CHA DANGOTE KUANZA KUJENGA GATI LA KUPAKIA CEMENT

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi akijadiliana jambo na Alhaji Aliko Dangote kuhusu ujenzi wa Gati katika Bandari ya Mtwara.Katikati ni Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa Mh Hawa Ghasia. Waziri wa Serikali za mitaa na tawala za mikoa Mh Hawa Ghasia (MB) akiwa na viongozi wa serikali na wa mkoa wa Mtwara katika kumpokea Bilionea Alhaji Aliko Dangote ambaye amekuja katika mazungumzo kuhusu kushirikiana na Serikali katika ujenzi wa Gati lakupakilia Cement ilikuwezesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani