Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDC kujenga kiwanda Ziwa Natron

SHIRIKA la Maendeleo la Taifa (NDC) limeanza mchakato wa kupata wazabuni kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya uzalishaji magadi soda kwenye Ziwa Natron na Bonde la Engaruka. Viwanda hivyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPELEKA WATAALAM KUWEKA MIPAKA YA KUWA NA PORI LA AKIBA ZIWA NATRON

SERIKALI imepeleka wataalam kwenda kuanza mchakato wa kuweka mipaka ya kuwa na Pori la Akiba (Game Reserve) la Bonde la Ziwa Natron na sehemu nyingine itakayokuwa na makazi ya watu (WMA).

Akizungumza kwa simu na mtandao huu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Profesa Adolf Mkenda, alisema serikali bado haijatangaza eneo hilo kuwa Pori la Akiba bali kinachoendelea kwa sasa ni kamati ya wataalamu kukutana na viongozi wa vijiji na watu wengine ili kukubaliana kwa pamoja.

Katibu Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

KIGWANGALLA AKUTANA NA WAWAKILISHI WA WANANCHI KUJADILI UANZISHWAJI WA PORI LA AKIBA NA WMAYA ZIWA NATRON

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusishaWaziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na...

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA WASHIRIKI KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA(NDC) WATEMBELEA KIWANDA CHA GEREZA KUU UKONGA JIJINI DSM


Maafisa Washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa wakizungumza na mfungwa ambaye amepatiwa ujuzi gerezani wa fani ya ushonaji katika Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza Kuu Ukonga kama inavyoonekana katika picha. Maafisa Washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa wakitoka  katika Kiwanda cha Gereza Kuu Ukonga kuendelea na ziara yao ya mfunzo katika maeneo mbalimbali...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wakorea kujenga kiwanda Dar

KAMPUNI kubwa ya kuoka mikate na bidhaa nyingine za ngano nchini Korea Kusini, Rapang, ina mpango wa kujenga kiwanda kikubwa cha mikate jijijni Dar es Salaam na vituo vya mauzo sehemu mbalimbali nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari kutoka Tanzania mjini Daegu mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Rapang, Byoung-Hee Choi, alisema Tanzania itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa na kiwanda cha namna hiyo.

“Mipango hii itatekelezwa ndani ya muda mfupi ujao na baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI ZIWA NYASA

Na Saidi Mkabakuli, Kyela
Kufuatia adha ya usafiri wa majini inayowakabili wakazi waishio katika fukwe za Ziwa Nyasa, Mamlaka ya Bandari Tanzania kupitia kituo chake cha Kyela ipo mbioni kujenga meli ya abiria na mizigo ili kuwahudumia wakazi hao.

Hayo yaliwekwa bayana na Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema wakati timu wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Tume ya Mipango ilipotembelea na kukagua bandari za Itungi na Kiwira zilizopo wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya.

Bw....

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli amshawishi Mo kujenga kiwanda Singida

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli amemshawishi aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mohammed Dewji, kujenga kiwanda mkoani humo, ili pamoja na mambo mengine, kupunguza uhaba wa ajira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani