JK: Wakazi wa mabondeni hameni
RAIS Jakaya Kikwete amewataka wananchi wanaoishi mabondeni, wakubali kuhama, kwani Serikali itawapatia maeneo yaliyo salama ili kuepukana na adha ya mafuriko kila inapofika msimu wa mvua.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Dec
Wakazi wa mabondeni wapewa siku 14 kuhama
Serikali imesitisha kazi ya ubomoaji nyumba za wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni katika bonde la Mto Msimbazi jijini Dar Es Salaam kwa muda wa siku 14 ili kuwapatia nafasi ya kuondoka kwenye maeneo hayo kwa hiari.
Kazi hiyo ya kubomoa nyumba na vibanda vilivyojengwa kinyume cha sheria na maeneo oevu yasiyoruhusiwa kwa ajili ya makazi ya binadamu ilianza Novemba 18 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi na Mipangomiji namba 8 ya mwaka 2007 kifungu cha 30 imeleza kuwa hairuhusiwi wananchi...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Tumechoka kuwazungumzia wakazi waishio mabondeni
LEO katika taarifa mbalimbali za vyombo vya habari, zimeeleza taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutahadharisha uwezekano wa kuwapo mvua kubwa zaidi ambazo zinaweza kusababisha mafuriko mengine...
11 years ago
Habarileo25 Dec
DC: Mliovamia msitu wa Munguli hameni haraka
WATU waliovamia msitu wa asili unaokaliwa na jamii ya Wahadzabe katika Kijiji cha Kipamba-Munguli mkoani Singida, wametakiwa kuhama mara moja kwenye hifadhi hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
CHADEMA yawafariji wa mabondeni
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Magomeni, Dar es Salaam, kimewafariji wakazi wa mabondeni baada ya makazi yao kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Ziara hiyo ya...
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Hatima ya nyumba za mabondeni leo
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
HATIMA ya nyumba zilizojengwa maeneo ya mabondeni katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salam itajulikana leo kama zitabomolewa au laa.
Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi, inatarajia kutoa uamuzi huo, baada wananchi kufungua kesi wakipinga kubomolewa nyumba zao.
Uamuzi huo, unatarajiwa kutolewa mahakamani hapo mbele ya Jaji Panterine Kente wa mahakama hiyo baada ya wananchi wanane kwa niaba ya wenzao wanaoishi katika maeneo hayo kufungua kesi kupinga hatua ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-FAkqSOP9nBU/VI966BfFePI/AAAAAAAARkU/4bdN4ItGTmw/s72-c/Naomi-Kaihula--December15-2014.jpg)
Mbunge ataka waliojenga mabondeni wasaidiwe
![](http://3.bp.blogspot.com/-FAkqSOP9nBU/VI966BfFePI/AAAAAAAARkU/4bdN4ItGTmw/s1600/Naomi-Kaihula--December15-2014.jpg)
Kaihula alisema kuwaondoa wakazi hao kwa ajili ya tahadhari ya mafuriko ni jambo zuri, lakini kwa kuwa wakazi hao wanaishi kihalali katika maeneo hayo, wanatakiwa kuandaliwa eneo mbadala.
Akizungumza na wakazi wa Jangawani jijini Dar es Salaam juzi, Kaihula alisema wakati...
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Mbunge: Waliouza viwanja mabondeni wakamatwe
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Waitara (Chadema), ameitaka Serikali kuanza kuwachukulia hatua wale wote waliowauzia viwanja wananchi wa mabondeni, kwani hao ndio chanzo cha ujenzi wa makazi katika mikondo ya maji.
Pia ameitaka Serikali kuwachukulia hatua watendaji wa Halmashauri ya Ilala kwa kuwabomolea wananchi wanaoishi katika Bonde la Mto Msimbazi bila kuwapa notisi ya kujiandaa kuhama.
“Halmashauri hiyo kuna mapele makubwa ambayo...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Wa mabondeni wataka kuwa wakimbizi wa ndani