Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge: Waliouza viwanja mabondeni wakamatwe

MWITANA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Waitara (Chadema),  ameitaka Serikali kuanza kuwachukulia hatua wale wote waliowauzia viwanja wananchi wa mabondeni, kwani hao ndio chanzo cha ujenzi wa makazi katika mikondo ya maji.

Pia ameitaka Serikali kuwachukulia hatua watendaji wa Halmashauri ya Ilala kwa kuwabomolea wananchi wanaoishi katika Bonde la Mto Msimbazi bila kuwapa notisi ya kujiandaa kuhama.

“Halmashauri hiyo kuna mapele makubwa ambayo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka wauza nyavu wakamatwe

MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza (CCM), ameitaka serikali kueleza sababu za kuwakamata wavuvi wanaotumia nyavu za macho madogo badala ya kuwakamata wauzaji wa nyavu hizo. Alitaka kujua hayo bungeni...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge ataka waliojenga mabondeni wasaidiwe

Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Naomi Kaihula (pichani), amesema tatizo la wakazi wa mabondeni linatatulika endapo serikali itaweka mikakati mizuri ya miundombinu katika maeneo hayo.
Kaihula alisema kuwaondoa wakazi hao kwa ajili ya tahadhari ya mafuriko ni jambo zuri, lakini kwa kuwa wakazi hao wanaishi kihalali katika maeneo hayo, wanatakiwa kuandaliwa eneo mbadala.
Akizungumza na wakazi wa Jangawani jijini Dar es Salaam juzi, Kaihula alisema wakati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliouza mchezo kushitakiwa,Hispania

Idara ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini Hispania imeiagiza mahakama kumshitaki kocha wa zamani wa klabu ya Real Zaragoza

 

11 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE ALIPOUNGURUMA VIWANJA VYA FURAHISHA MWANZA JANA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema, Halima Mdee, akipeana mikono kusalimiana na wafuasi wa Chadema baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana. Mbunge huyo mara baada ya kumaliza kuwahutubia wafuasi wake, aliwatangazia kuanza kutoa chochote kitu ili kuchangia na kumwezesha Mbunge huyo kuweza kuendelea na ziara za mikiani ili kufanya mikutano kama huo, ambapo walijitokeza na kuchangia kila mmoja kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawakala waliouza mbegu zisizoota kushughulikiwa

WAMILIKI na mawakala wa makampuni  yaliyouza mbegu za pamba kwa wakulima wilayani Igunga, Tabora wapo mbioni kufikishwa katika vyombo vya sheria kutokana na madai ya  kuwauzia wananchi mbegu zisizoota. Kauli...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE, MAKAMU WAKE DKT. BILAL WAWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA GEITA, VIWANJA VYA KARIMJEE, DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA GEITA MAREHEMU DONALD KELVIN MAX VIWANJA VYA KARIMJEE, DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika  Jumamosi  kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es SalaamMama Salma  Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika  Jumamosi  kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE NA MAKAMU WAKE DKT. BILAL WAWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA GEITA, VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR

 Wapambe wa Bunge wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Max, wakati likiwasili kwenhye Viwanja vya Karimjee. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete,  akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika leo Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kulia ni mkewe Mama Salma Kikwete. Makamu wa Rais wa Jamhuri...

 

11 years ago

Habarileo

RC- Waliosababisha hasara bil. 4/- wakamatwe

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, ameishauri Serikali Kuu ishughulikie wataalamu waliosababisha hasara ya Sh bilioni nne, kwa kuelekeza uchimbaji wa visima nane vyenye maji yasiyofaa kwa matumizi ya binadamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani