Waliouza mchezo kushitakiwa,Hispania
Idara ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini Hispania imeiagiza mahakama kumshitaki kocha wa zamani wa klabu ya Real Zaragoza
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Mbunge: Waliouza viwanja mabondeni wakamatwe
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Waitara (Chadema), ameitaka Serikali kuanza kuwachukulia hatua wale wote waliowauzia viwanja wananchi wa mabondeni, kwani hao ndio chanzo cha ujenzi wa makazi katika mikondo ya maji.
Pia ameitaka Serikali kuwachukulia hatua watendaji wa Halmashauri ya Ilala kwa kuwabomolea wananchi wanaoishi katika Bonde la Mto Msimbazi bila kuwapa notisi ya kujiandaa kuhama.
“Halmashauri hiyo kuna mapele makubwa ambayo...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Mawakala waliouza mbegu zisizoota kushughulikiwa
WAMILIKI na mawakala wa makampuni yaliyouza mbegu za pamba kwa wakulima wilayani Igunga, Tabora wapo mbioni kufikishwa katika vyombo vya sheria kutokana na madai ya kuwauzia wananchi mbegu zisizoota. Kauli...
9 years ago
Habarileo04 Jan
15 kushitakiwa kwa ubadhirifu
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakusudia kuwafikisha wakuu wa shule zake 15 kwenye vyombo vya sheria kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha.
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
Viiongozi wa waasi kushitakiwa S.Kusini
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Viongozi wa zamani Kosovo kushitakiwa
10 years ago
Vijimambo26 May
UFISADI MAWAZIRI 4 KUSHITAKIWA HUKO KENYA
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/16/150416124754_kenya_court_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Kiongozi wa Mashtaka ametoa ruhusa ya kushtakiwa kwa mwaziri wanne
Kutumia ujumbe kwa vyombo vya habari, mkuu wa mashtaka ya umma nchini Kenya Keriako Tobiko, hii leo amevumbua yaliyomo katika hati za kesi za mawaziri wanne.
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi ya Kenya imependekeza waziri wa uchukuzi mMhandisi Michael Kamau na waziri wa leba Kazungu Kambi kushtakiwa na matumizi mabaya ya ofisi.
Mhandisi Michael Kamau anakumbwa na shutuma za kutumia fedha ubadhirifu wa fedha za umma na...
10 years ago
Bongo505 Nov
Waziri wa Uganda aagiza Desire Luzinda na boyfriend wake wakamatwe na kushitakiwa kwa kusambaza picha za utupu
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Hispania kidedea