Mbunge ataka waliojenga mabondeni wasaidiwe

Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Naomi Kaihula (pichani), amesema tatizo la wakazi wa mabondeni linatatulika endapo serikali itaweka mikakati mizuri ya miundombinu katika maeneo hayo.
Kaihula alisema kuwaondoa wakazi hao kwa ajili ya tahadhari ya mafuriko ni jambo zuri, lakini kwa kuwa wakazi hao wanaishi kihalali katika maeneo hayo, wanatakiwa kuandaliwa eneo mbadala.
Akizungumza na wakazi wa Jangawani jijini Dar es Salaam juzi, Kaihula alisema wakati...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Nov
Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ataka wananchi wa vijijini wasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi
Mratibu wa mradi wa kudhibiti wanyama wakali kwa kutumia waya na mitii maalumu inayohimili ukame unaofadhiliwa na UNDP Dr. Maurus Msuha akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) alipotembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la UNDP wilayani Longido mkoani Arusha katika ziara yake ya siku mbili mara baada ya kuwasili wilayani humo....
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Mbunge: Waliouza viwanja mabondeni wakamatwe
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Ukonga jijini Dar es Salaam, Mwita Waitara (Chadema), ameitaka Serikali kuanza kuwachukulia hatua wale wote waliowauzia viwanja wananchi wa mabondeni, kwani hao ndio chanzo cha ujenzi wa makazi katika mikondo ya maji.
Pia ameitaka Serikali kuwachukulia hatua watendaji wa Halmashauri ya Ilala kwa kuwabomolea wananchi wanaoishi katika Bonde la Mto Msimbazi bila kuwapa notisi ya kujiandaa kuhama.
“Halmashauri hiyo kuna mapele makubwa ambayo...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Mbunge ataka wasilipwe posho
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ameshauriwa kumuandikia barua Rais Jakaya Kikwete, kuomba kuvunjwa kwa bunge hilo linaloendelea mjini hapa endapo wajumbe wake watashindwa kuanza kujadili rasimu Jumatatu ijayo.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Mbunge ataka ahadi za JK zifutwe
MBUNGE wa Viti Maalumu Rebeca Mngodo (CHADEMA), ameitaka serikali kuzifuta ahadi zote zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuomba kura mwaka 2010 kwa madai kuwa hazitekelezeki. Mngodo alitoa kauli...
11 years ago
Habarileo05 Nov
Mbunge ataka Bunge lisitishwe
KUTOKANA na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 90 za dawa hatua inayozifanya hospitali nyingi nchini kukosa huduma hiyo na kuleta madhara kwa wagonjwa, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), ameomba Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge ulioanza jana mjini hapa kuahirishwa ili fedha walizopaswa kulipwa wabunge zitumike kununua dawa kuokoa wagonjwa.
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
Mbunge ataka magereza kupanda miti
MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jaffo (CCM) ametaka kujua mikakati ya serikali kuwezesha majeshi ya magereza kupanda miti na kutunza mazingira kwenye maeneo yao magereza. Katika swali la awali la Mbunge...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Mbunge ataka wauza nyavu wakamatwe
MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Jason Rweikiza (CCM), ameitaka serikali kueleza sababu za kuwakamata wavuvi wanaotumia nyavu za macho madogo badala ya kuwakamata wauzaji wa nyavu hizo. Alitaka kujua hayo bungeni...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Mbunge Chadema ataka msaada wa mawaziri
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Mbunge ataka sheria ya majaji itumike
MBUNGE wa Viti Maalumu, Diana Chilolo (CCM), ameihoji serikali kutoanza kutumika sheria ya majaji iliyotungwa na Bunge na kuainisha haki na marupurupu ya majaji. Mbunge huyo mbali na kuhoji suala...