Mbunge ataka Bunge lisitishwe
KUTOKANA na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 90 za dawa hatua inayozifanya hospitali nyingi nchini kukosa huduma hiyo na kuleta madhara kwa wagonjwa, Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM), ameomba Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge ulioanza jana mjini hapa kuahirishwa ili fedha walizopaswa kulipwa wabunge zitumike kununua dawa kuokoa wagonjwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Aug
‘Bunge la Katiba lisitishwe’
10 years ago
Mtanzania12 Sep
Jaji Warioba: Bunge lisitishwe
![Jaji Joseph Warioba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jaji-Warioba.jpg)
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema ni vyema Bunge Maalumu la Katiba likasitishwa kwani Katiba bora haiwezi kupatikana kwa muda wa wiki mbili.
Kauli hiyo ya Jaji Warioba imekuja siku moja baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kumtaka Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, kulisitisha, huku mwenyewe akisema litaendelea na hadi kufikia Oktoba 4 Katiba inayopendekezwa...
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Dk Chegeni: Bunge la Katiba lisitishwe kwanza lijipange
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Mbunge ataka ahadi za JK zifutwe
MBUNGE wa Viti Maalumu Rebeca Mngodo (CHADEMA), ameitaka serikali kuzifuta ahadi zote zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete wakati wa kuomba kura mwaka 2010 kwa madai kuwa hazitekelezeki. Mngodo alitoa kauli...
11 years ago
Habarileo29 Mar
Mbunge ataka wasilipwe posho
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta ameshauriwa kumuandikia barua Rais Jakaya Kikwete, kuomba kuvunjwa kwa bunge hilo linaloendelea mjini hapa endapo wajumbe wake watashindwa kuanza kujadili rasimu Jumatatu ijayo.
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Mbunge ataka Dar kuwa safi
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ametaka kujua kwanini Jiji la Dar es Salam linazidi kuwa chafu wakati fedha nyingi zilitumika kufanya usafi kwa muda mfupi alipokuja Rais wa...
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Mbunge ataka Zitto, wenzake wafukuzwe
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Mbunge ataka Benki ya Wanawake Pemba
MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), ameihoji serikali na kutaka ieleze ni lini itapeleka Benki ya Wanawake katika mikoa ya Pemba, ili nao waweze kunufaika na benki hiyo. Msabaha...
10 years ago
Habarileo14 May
Mbunge ataka adhabu ya ajali iongezwe
MBUNGE wa Viti Maalumu, Amina Abdulla Amour (CUF) ameitaka Serikali kuongeza adhabu kwa kampuni zenye mabasi yanayopata ajali, ili badala ya kufungia mabasi hayo kuanzia mwezi mmoja mpaka miezi sita, adhabu ianzie mwaka mmoja na kuendelea.